
kiongozi na mpiga solo wa bendi ya vibration sound elyson angai na rapa wake wakijituma jukwaani katika uzinduzi wa albamu mpya ya 'overtime' ya bendi hiyo katika viwanja vya leaders club jijini dar jioni ya leo.

mpuliza sax maarufu king malou amejiunga na vibration sound na hapa akifanya vitu vyake leo

safu ya washambuliaji wa vibration sound kazini leo

elyson angai akiwajibika

sehemu ya umati wa wadau waliohudhuria onesho hilo la unzinduzi la bure leaders club leo

waimbaji wa vibration sound wakighani

muonekano wa mapema wa viwanja vya leaders club wakati wa uzinduzi wa albamu mpya ya vibration sound uliodhaminiwa na kilaji cha kilimanjaro lager na kufana vilivyo
elyson nambari wani.... si mchezo afurika nzima
ReplyDeleteWaBongo bwana kwa kupenda DEZO! Mweeh!
ReplyDeleteCheki hapo walivyojaa! Khaa!
HARAMBEE KAMA HIZI ZINGEFAA KUWAKUMBUKA WAHANGA WA MABOMU KULE MBAGALA. LAKINI WAPI, WOTE AKILI KWENYE ULABU TUUU
ReplyDeleteAaaah Kaka Jeff...Nakuona unawakilisha TBL...
ReplyDelete