maafisa wa vodacom tanzania wakimkabidhi nanihii blakberry smartphone ili kuendeleza libeneke kwa urahisi na ufanisi zaidi. sherehe za makabidhiano haya zimefanyika leo dar. globu ya jamii inapenda kutoa shukrani kwa kampuni ya vodacom sio tu kwa zawadi hiyo ambayo itasaidia kuendeleza libeneke bali pia kwa kuthamini mchango wa nanihii katika teknohama


BLACKBERRY SMARTPHONES

Vodacom Tanzania became the first mobile network in Tanzania to introduce BlackBerry smart phones for its prepaid customers in Tanzania in October 2008. BlackBerry is the leading email solution in the world that ensures secure transmission of your email server to you via the Vodacom Internet network. With BlackBerry smart phone, you enjoy unlimited email and Internet access all day long, wherever you are!

Vodacom Tanzania offers FOUR models of BlackBerry smart phones namely


BlackBerry Pearl 8110 smart phone


BlackBerry Curve 8310 smart phone


BlackBerry Bold 9000 smart phone


Blackberry Storm 9500 smart phone




BlackBerry benefits
1. Ideal for individuals and business people who use web-based email like Vodamail, Yahoo, Hotmail, Gmail, etc.




2. Get emails from the above email accounts into your Inbox and synchronize them automatically. Associate up to 10 email accounts including MSN, Vodamail or POP3/Internet Service Providers (ISP) email accounts.

3. Receive limited the number of messages on your BlackBerry smart phone by setting filters.

Download and view attachments. BlackBerry® on Post-paid


1. Get a BlackBerry smart phone!


2. Add BlackBerry Internet Service (BIS) or BlackBerry Enterprise Solution (BES) to an existing or new Vodacom Post-paid account.


3. Enjoy UNLIMITED monthly access to web-based Email and Internet browsing on your BlackBerry smart phone.




** Available on Vodachoice,


Talk 200,


Talk 500


and


Talk 1000 packages.




BlackBerry® on Prepaid


Get a BlackBerry smart phone!


Purchase a Prepaid BlackBerry Internet Subscription via SMS, Vouchers or VodaFasta for 30, 90 or 180 days.




Enjoy UNLIMITED access to web-based Email and Internet browsing on your BlackBerry smart phone!




***Available on Standard Prepaid and VodaJAZA, for Company accounts, contact corporatesolutions@vodacom.co.tz




Prepaid & VodaJaza BlackBerry Subscriptions from VodacomTo subscribe, SMS keyword (below) to 123Tariffs (VAT & Excise Incl.)




Validity days


BLACKBERRY1Tsh 36,000 - 30 days


BLACKBERRY3Tsh 99,000 - 90 days


BLACKBERRY6Tsh 180,000 - 180 days



BlackBerry Prepaid vouchers for Internet usageTsh 36,000 to be used within 30 days of activation


Tsh 99,000 to be used within 90 days of activation


Tsh 180,000 to be used within 180 days of activation




For more information about Vodacom corporate products and services, please visit any of our participating Vodashops or write an e-mail to




or call 0752 707270


or visit


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2009

    mhashimiwa balozi umenona, naona vekesheni imefanya mambo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2009

    Michuzi,
    Waambie vodacom kuwa wadau wanatuma salaam za shukrani kwa kitendo hicho muhimu cha kuijali globu hii na kuthamini kazi yako.

    Lakini nanihii leo vipi mbona umetuangusha ze fulanazz iko wapi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2009

    Kaka umeula hongera sana ! Sasa inakuwaje ile simu yetu ya awali? Niruzuku basi...Hata kama ni kimeo nitashangilia tuu kupata ruzuku kutoka kwa balozi kama wewe....

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2009

    Hongera balozi wa nanhiii.Lakini huko si ndiko kula huku na huku ambako JK alikataza wakati wa vekesheni?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2009

    naona wanakugombania kama mpira wa kona, huku wewe ni Balozi wa Zain na sasa wewe ni Smart user wa Vodacom

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2009

    Jamani shangazi ya wanetu a.k.a bi wifi namimi naomba unitupie hako ka-BB sio kumpa tu huyo kaka Michuzi, ingawa anakahitaji sana hako mana na hivyo vitripu anavyopiga around the world katamfaa ku keep in touch kwa kweli mmmmmh. Sasa going back to hako Ka kwangu umpe tu mwanangu D arudi nako huku ,wasalimie wanangu D & D huko nimewamisooo.Mamdogo M.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2009

    Wapi ze fulanaaaazzzzzzzzzzzzz?????????????

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2009

    Misupu vipi? ughaibuni umemchombeza mzee pazi sasa anagalagazwa na wauni wa ngoma afrika,we nyumbani unapokea kitu kitu kipya Hongeraaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...