



Original Products ONLY!
From USA
Kwa Wanaume na Wanawake
Perfume, Deodorants, Aftershave, Vipodozi nk.
Pia tuna Age fighting Products.
From USA
Kwa Wanaume na Wanawake
Perfume, Deodorants, Aftershave, Vipodozi nk.
Pia tuna Age fighting Products.
Wasiliana na Rose: 0754270702 au 0784521171
Tutembelee Sinza Mapambano au Mikocheni.
LOCATION
#1: Shekilango Rd; SINZA MAPAMBANO "MADUKA YA BLUE", ubavuni mwa LILY'S BAR na tunatazamana na ukumbi mdogo wa UTOJI LOCATION
#2: MIKOCHENI KARIBU NA KWA MWALIMU- JUED BUSINESS CENTER
Direction:
Kutokea Rose Garden, ukifika TALK of the TOWN jengo linalofuata linaloangaliana na Saleeka Apartments.
Pembeni ya ARISE BEAUTY SUPPLY kuna ATM ya CRDB.
Ukienda mbele kidogo unafika kwa Mwalimu.
Tembelea website yetu
Tembelea website yetu
Mnawadanganya wa huko. Vitu vya mexico hivyo.
ReplyDeleteMdau wa kwnza hapo juu wacha dharau mtu kaleta bidhaa zake muache auze ili nawe upate jengewa barabara na hizo kodi wewe uko uliko unachangia vipi pato la taifa lako ili liendelee. kwanini ukatishe watu tamaa huo ni unafiki, basi leta na wewe vya Usa tununue una uwezo hacha roho mbaya kihivyo mwacha mwenzio ajaribu maisha hata kama ni china au congo mwache auze.ni hayo tu kaka
ReplyDeletewe hapo juu kama hauna la kusema bora unyamaze....unawadanganya wa huko....what do u mean?wa huku hatujui quality na original things eeeeh,yaan we kutoka nje ya bongo basi unaona kila aliye baki bongo ni mshamba na mtu wa kudanganywa tuuu.....hebu kabebe box achana na maisha yetu ya bongo,kwanza rudi uje umjengee baba yako kajumba kanamdondokea huku.
ReplyDeleteHivi kitu kutoka USA imekuwa nongwa? Kuna made in china nyingi sana kutoka USA. Acheni wizi hivyo vipulizo hakuna hata kimoja kinachotengenezwa USA labda useme vilipitia USA kuelekea Tanzania.
ReplyDeleteTransit in USA and not made in USA.
ReplyDelete