WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAKIFUATILIA HUTUBA YA BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 2009/ 2010.

SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI PANDU AMEIR KIFICHO AKISALIMIANA NA MWENYEKITI WA CUF DK. IBRAHIM LIPUMBA BAADA YA KUMALIZIKA KUSOMWA KWA HUTUBA YA BAJETI YA SERIKALI.


WAZIRI WA NCHI AFISI YA RAIS IKULU ANAYESHUGHULIKIA FEDHA DK. MWINYIHAJI MAKAME (KUSHOTO) AKIBADILISHANA MAWAZO NA MWAKILISHI WA HAJI FAKI SHAALI WA CUF (KULIA) NA KATIKATI KATIKBU MKUU WA WIZARA YA AFYA NA USATAWI WA JAMII DK. JIDAWI.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2009

    napenda kuona na kupata habari CCM na CUF katika mambo ya kitaifa wakiwa pamoja kama hivi.hongereni sio kila siku malumbano.Hivi huyu lipumba ni DR. au Prop ?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2009

    sasa cuf nini ; lazima mvae vibalakashia; pigeni suti

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2009

    Hivi hizi Hijabu kwa nini zinavaliwa na wanawake tuu ? Nadhani wanaume nao wangekuwa wanavaa ili wasiwatie vishawishi wanawake ...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 19, 2009

    Mdau unayehoji kuhusu hijabu, kiislamu mwanaume anatakiwa avae mavazi yanayomsitiri, na yaliyo na nafasi yaani mapana flani, ili yasionyeshe maungo yake, ili wasiwatie vishawishi wanawake...Pili wanawake wanatakiwa wawe mbali na wanaume mfano ndani nk...na wanaume wawe pekeyao mf nje nk...inaruhusuwa pia wanawake kutoka kwa sababu maalumu kama kazi, masomo, michezo nk kwa ruhusa maalumu ya waume, baba na wasimamizi wao kisheria lakini pasi na uwepo wa wanaume..hapo hakuna nayemshawishi mwenzie...uwanja huu mpana sana, ukiutafakari juu juu huwezi kuelewa na utaishia kubaki na maswali mengi...kikubwa kuliko vyote ni kuamini kwa dhati ulichoamrishwa pasi na kuhoji kwani moja kati ya sifa ya Mungu ni kutohijiwa aamuayo.. na hufanya atakalo.
    Nadhani nimekusaidia.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 19, 2009

    msinione mdini ni suala la kueleweshwa tu

    ivi zenji hakuna viongozi wakristo?mana najua wazawa wakristo zenji wapo,au kunatumika vigezo gani??

    aanteni kwa libeneke

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 20, 2009

    viongozi wakristo wapo kwa vyama vyote vwili, n yupo waziri m1 mkristo yupo, mwakanjuki, ila uctegemee idadi ikawa sawa kwa vile idadi y waislam n kubwa san kulinganisha na wakristo

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 22, 2009

    Bwana Michuzi,

    Hivi Lipumba ni Daktari au Profesa?

    Majaliwa.
    tmajaliwa@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...