simu ya pasi ama pasi ya simu
Home
Unlabelled
cheka unenepe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
simu ya pasi ama pasi ya simu
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sio kitu cha kucheka hicho,mimi nimeona uchungu sana. pole sana bwana mdogo.
ReplyDeletePOLE
ReplyDeleteHahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletehhahaaaa tehe tehe tehe htehe
ReplyDeleteuuuuuuuuuuuuuuuwi, jamani tuweni waangalifu mwe....utapoteza sikio hivi hivi.......
ReplyDeleteMbona sioni cha kuchekesha hapo, inatia uchungu maskini pole sana hii inaweza kukutokea hata ww misupu so is not fun at all, hii ndio wanasema is one of those days !!!!!!
ReplyDeleteWATU SIKU HIZI WAMEKUWA WATUMWA WA SIMU, NGOJA AUNGUE NDO APATE DISCIPLINE
ReplyDeleteHahahahahah. Asiwafanye Wajinga kafanya Jokes tu Ipo jokes hiyo kwenye Mail za kutumiana niliwahi kusoma. Waliandika Jamaa walikuwa washamba wasimu siku moja anapiga pasi simu ya ndani baada kupokea akapokea Pasi akaweka sikioni. Si Mobile ni Simu ya Ndani ndio ilitakiwa iwe karibu sababu Ina Waya. Ila hiyo Nzuri Kijana.
ReplyDeleteubunifu mzuri wa kuchekesha watu,hongera u r very creative boy!
ReplyDeletemnaotoa pole mnadhani hiyo caption ilifanyika accidentaly within those few seconds? i don't think so! is a planned thing to make us LOL
..hiko kituko kilitokea uarabuni hata mimi nilivyoona nilicheka sana ndo nikakumbuka kumuonea huruma.. hivyo vituko viko vingi sana huku U.A.E....
ReplyDeletemdau kutoka uarabuni.
http://www.africanjokes.com/africanjokes/listing-blistered-ears-10928.html
ReplyDeleteNIMEIFUMA HAPO WEBSITE TIZAMENI.
A Tanzania guy having seen blisters in both of his friends's ears asked him what happened to his ears.
He said that while he was busy ironing his clothes, the telephone rang, and he mistakenly put the iron to his ear instead of the receiver.
So the first fellow asked him what happened to his other ear,
and the reply was - ‘That fool called me again’ ! HAHAHAHAHA. JUMA.
haha this is good. ofcourse sio kweli, wewe ujiwekee pasi ya moto kwenye uso namna ile halafu ureact namna ile? hakuna kulia wala kugaragara kwa maumivu makali?you must be joking. ni set up pasi ilikuwa baridi kabisa hiyo, but its a good joke
ReplyDeleteMuongo huyo, mtu aliyeungua haugulii kiana hiyo!
ReplyDeletehiyo siyo kweli. unawekaje simu sikioni kabla hujaipokea??!! (na simu yake siyo ya kufungua wala kutelezesha) alitakiwa kuungua kidole
ReplyDeletemdau chiggs, deslam
hahaaaaaa hii itakuwa simu ya pasi kwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteAt least mtoa maoni 10:14 AM hapo juu kichwa chako kizuri sababu umegundua kilichokosewa kwenye kucreate hicho kichekesho.
ReplyDeleteProf,Chicago.