Mwigizaji nyota Danny Glover anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika
Zanzibar International Film Festival (ZIFF) mwaka huu
Tamasha hilo la ZIFF 2009 linatarajiwa kuanza juni 24 mpaka julai 4 mjini Zanzibar likishirikisha wanamuziki na wasanii kutoka nchi mbalimbali, ambapo kutakuwa na maonyesho mbalimbali ikiwa ni pamoja na muziki, Filamu, semina mbalimbali juu ya mapambano ya Ukimwi, Ngoma za Asili na mambo mengine mengi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Haya bwana michuzi, wasomaji wako wanakaribishwa kwenye website yetu ya The East African Tribune www.eatribune.com
    Karibuni....kina nanihii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...