dk. liky abdallah, mchambuzi nguli wa mambo ya soka anaongea na globu ya jamii juu ya michuano ya confederation cup inayokaribia kufikia tamati huko sauzi. huu ni mwanzo tu wa chambuzi mbalimbali ambazo dk. likyamekubali kufanya katika kuendeleza libeneke
Angalizo: utabiri wa wengi kwamba spain wangeifunga marekani umeota mbawa.
Gemu limeisha sasa hivi na USA 2 na Spain 0!
hahahaha uwiiiiiiiii mzee anareta raha huyu anachonga hata maneno hayamuishi kusema kawekewe keyboard mdomoni. halohalo i miss bongo uswaziiii oyeeeeee
ReplyDeletebro michu huyu jamaa ni dr. wa nini?
ReplyDeletefinali USA vs South Africa
Hata mimi nilitabiri kama Dr lakini kumbe sivyo. Haya kesho, Brazil na SA...Brazil anapita
ReplyDeleteMichu,
ReplyDeleteHebu tutafutie Dr Licky tena maana mambo si mambo, Spain wamebwia 2 mtungi.
Huyu jamaa kwa nini asingepewa kuwa mshauri mkuu wa FAT ili tufike World cup?
ReplyDeleteNaomba mtumie Dr Licky hili swali ili atoe ufafanuzi..
ReplyDeletekama nawe unaweza jibu jibu.
Hivi ukiwa mtangazaji wa TV ,je una huru wa kutoa mawazo yako bila kuingiliwa?[freedom of speech]
Nimeona huku kwa Madiba mtangazaji kasimamishwa kazi kwa kusema ukweli..lakini wenye chombo wamesema ndivyo sivyo ndivyo!
http://www.sport24.co.za/Content/Soccer/266/fbb73b02eb614a8eb41984fb318246cd/24-06-2009%2008-06/SABC_sports_presenter_suspended
Dr Licky amenifurahisha sana jinsi avayochambua soka na kuingiza hostoria. Anaonekana ni mtu makini na soka analijua vizuri sana.
ReplyDeleteMichu inabdi uwe unamuhoji Dr. Ricky mara kwa mara.
Tulio USA:
Huu ni ushindi mkubwa sana! Kwa vile Tanzania haijaingia kwenye haya mashindano chama letu ni USA!
Koleo
Youth Soccer Coach
Connecticut
MICHUZI NAKUSHUKURU SANA. I ALWAYS MISSED DR. LICKY. NAKUMBUKA NIKIWA DSM UTAMU WA UCHAMBUZI WA SOKA LA KIMATAIFA, ILIKUWA UMSIKIE DR. LICK AKICHAMBUA WAKATI WA MAPUMZIKO YA MCHEZO. HUYU JAMAA NI BALAA. MAANA ANAJUA MCHEZO, ANAWAJUA WACHEZAJI, ANAJUA HISTORIA YA DUNIA. KWA UFUPI ANAJUA MAMBO MENGI SANA HUYU JAMAA. ALITAKIWA KUWA MSHAURI WA F.A.T.
ReplyDeleteKWA UFUPI, ANAZIJUA TIMU ZA AFRIKA, WACHEZAJI WAKE, TIMU ZA DUNIA (MAARUFU) NA WACHEZAJI WAKE, NA HISTORIA ZAO MIAKA KAMA 100 KURUDI NYUMA. HUYU ANGEKUWA STATES, NI KAMA AKINA LARRY KING WA CNN.
Unajua zamani wakati nikiwa high school nilifikiri huyu jamaa anadanganya , ila nimemkubali . Jamaa anaijua historia ya dunia , na hiyo inamfanya awe na persepective kubwa kuhusu analysis yake ya mpira . Michuzi mtafute tena huyu jamaa umpe dakika kumi au hata ishirini, mtu uwezi kuchoka kumsikiliza .
ReplyDeleteVitu vingi alivyosema ni vya kweli tupu ...ila aliunderestimate the heart of the a champion. GO USA, and God bless the United States of America.
Dr.Licky long time sijakuona mchizi wangu naona unga unakuja kwa kasi, tangu kwenye luninga kipindi kile mkichambua soka na Michuzi naye akiwa anachomekea chomekea kwani utaalamu wake ni kwenye taswira tu.Napenda sana uchambuzi wako Michuzi mtafute huyu jamaa atuletee uchambuzi, tumechoka uchambuzi wa wazungu huku !!
ReplyDeleteHana udk wowote ni wabongo kama kawaida yetu kupeana majina na hasa jina lake linafanana na mvumbuzi maalufu dk lick wa olduvai. ndipo wakaona na yeye ana chambua vizuri mambo ya michezo wakampa cheo cha dk.
ReplyDeleteHata hivyo anatufaa sana kwani ni mchambuzi mzuri wa mambo ya michezo na hasa mpira wa miguu.
kama anaona inafaa basi siku moja achukue form agombee nafasi yoyote ya uongozi katika chama chetu cha mpira wa miguu hapa bongo.
A real football pundit in the middle of Bongoland. Research-minded, analytical and knowledgeable. What a talent. He went to school with my uncle at Uyui (who knows when) and how they now look generations apart!
ReplyDeleteSISIS WATANZANIA NI WALALAMISHI SANA, SASA NAOMBA WACHAMBUZI WA MASUALA YA MPIRA WANIELEZE KWANINI TANZANIA HAIKUCHANGAMKIA MGAO WAKE WA TIKETI ZA BURE TOKA FIFA HUKU WAKENYA WAKICHUKUA ZAO MAPEMA! JE, HII INATOKANA NA UFINYU WA KUFIKIRI AU UVIVU WA KUFIKIRI? TUSINGEKUWEMO KWENYE LISTI YA MGAO TUNGELALAMIKA SAAAAAANA MPAKA DUNIA YOTE INGESIKIA KUWA TUNACHUKIWA.
ReplyDeleteduhhh mzee unaongea sana lakini waswahili wanasema mpira unadunda yasikutishe majina baba halafu chengine mpira hauna history unaleta mambo ya simba na yanga
ReplyDeletehuyu mzee anafaa kuwa kocha mkuu na julio akawa msaidizi wake
ReplyDeletePamoja na kuwa ni mbeba maboski ughaibuni lakini sijapendezewa na ushindi wa jamaa dhidi ya Hispania. Wabongo tukiwafunga Burkina Faso ni mchakamchaka kila kona tukifurahia ushindi. Jamaa huku wameifunga timu namba moja duniani lakini wengi wao walikuwa hata hawajui kwamba timu yao ilikuwa inacheza. Noma kichizi.
ReplyDeleteLicky Mtoto wa GOGO VIVU Kariakoo, nakujua sana na ninakumiss nikija bongo nitakutafuta, na sio siri katika wabongo wewe unapenda mpira na unajua histori ya mpira, achana na waosha vinywa.
ReplyDeletedah mimi namkubali dk licky kwa uchambuzi lakini naona tu aliwahi kuchapia enzi zile alipotuambia robbie kean na roy kean ni brothers that was it lakini he is always right i do believe that na history za wachezaji wengi anazijua ila hiyo tu ilipita pembeni au labda ulimi ulitereza manake si unajuwa ulimi hauna mfupa? keep it up baba tunakukubali ila mmhh kaka dk licky umri sasa unakwenda manake naona kichwani utadhani ulibeba gunia la unga ukakumwagikia kidogo kichwani na kwenye ndevu hahaha just joke kaka
ReplyDeleteWadau hivi ni mimi pekeyangu ninayeumizwa kichwa na sauti za hayo ma-vuvuzela wakati ninapoangalia mpira?Ndugu zangu wa bondeni hawana namna nyingine ya kushangilia?Sina maana ya kudharau utamaduni wa ndugu zangu kwasababu naamini no culture is superior to onother(naomba msinishambulie)Hawa wandugu hawawezi kuyapuliza kwa utaratibu wa DO-LE-MI-FA-SO-LA-SI-DO ili yatoe muziki unaoeleweka?Ninajaribu kupunguza sauti ya TV lakini mpira haunogi bila kuuona na kusikia sauti ya mtangazaji.Wadau hii imekaaje?Je hivyo ndivyo hali itakavyokuwa mwakani wakati wa kombe la dunia?
ReplyDeletefujo fujo,,,hatufanani na wazungu na hatutaki tabia zao ni zao
ReplyDeleteacha tucheze sindimba,mdundiko na kelele zooote!!
afrika utamaduni bwana!!
Bro! Yaani kumsikiliza huyu jamaa ni burudani tosha. Mtafute tena tuburudike.
ReplyDeleteMAREKANI KWAO MPIRA WA MIGUU AWANA DEAL NAO KABISA,WE WAAMBIE WATUKANE NA KUVAA KATA K,NI KWELI TEAM YAO IMESHINDA LAKINI ATA AWAJUI NA WALA AWAKUANGALIA MPIRA NDIO MANA UWA NAWATIA MASINGI NIKIWA NAO!!
ReplyDeleteMzee misupu
ReplyDeletekwa kweli sisi walioko pembeni na afrika huwa tunakumbuka taalifa zamichezo mbali mbali natunahuzunika sana kutokuwa na kufuatilia uchambuzi wa michezo kwenye redio hasa zahuko kwetu,,,sasa tunaomba uwe unatafuta watu kama hao wanatukumbusha habali za michezo kidogo,,mdau wa South Kolea.
Dk Liky nakubari sana uchambuzi wake mara nyingi ila huu naona alichokosea nikuweka big team mbela kabla ya kucheck team zinavyo change game day by day kwenye confed cup!
ReplyDeleteMimi nilikuwa kwenye live kwenye uwanja siku ya match ya USA and Italy niona jinsi US ilivyo kuwa inacheza vizuri though walishindwa na walivyo funga egypt ilionyesha jinsi walivyo kosoa makosa katika team yao pia match za Italy zote in other side Bafana bafana unona ilivyo toka mbali nadhani Dk Liky umeliona kwenye match ya jana ambayo mimi pia nimeona kwenye tv pia. bado wana hitaji kulekebisha team yao ila at least sio vibaya kama kabla ya confed cup kuanza.
Final nayo nimecheck live from ellis park it was wonderful game i think US must be proud of it nadhani hata watazamaji pia na brazil walikuwa hawaelewi kilichotokea wakati wa half time na though ni team kali kweli ila yote yana wezekana kwenye soka hata france 98 iliwafanyia ghafla wakakosa kombe...
maoni angu kwa confed cup nikwamba kila team sasa inapaswa ikienda kuwakilisha kwenye mashindano wajiamini na kuweka bidii tu wasitishiwe na majina makubwa.
I thank God sana kwa mara ya kwanza nimeweza kuhuzuria match hizo.
Niliweza kucheck 5 matches.
US vs Italy,Italy vs Egypt,Brazil vs Italy. semi-final ya South Africa vs brazil na Finals
It was great experiance in life...
Vuvuzela kama kawa tu.
Nakumbuka wakati Mark Foe anakufa nilikuwa kwenye tv kwenye bar moja na sikuwa na idea that one day i can watch this biggest event in the world live.
I hope that wadau you can keep dreaming and God one day can make dream to come true just believe in Him....
Jozi,SA