Home
Unlabelled
dogo wa uswazi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Na kiwango kimepanda sasa tupo nafasiya 72.
ReplyDeleteTanzania ni ya 109. Montenegro ni ya 110.
ReplyDeletewe annon 9:25 hapo juu wacha uongo
ReplyDeletenafasi ya 72 Fifa au?
mbona nimetoka kuangalia saizi naona tupo nafasi ya 109 na 72 ni South Afrika.
angalia link hizi:
http://www.fifa.com/worldfootball/ranking/lastranking/gender=m/fullranking.html#confederation=0&rank=182&page=3
P.E.D
bora nyie mmeamua kuhakikisha ndio hivyo pia kwenye kwenye maswala mengine watu wanasema sana lakini ni uongo mtupu, ni vizuri kuhakikisha kabla kabla ya kuongea chochote.
ReplyDeleteFIFA wamerekebisha bahada ya mechi ya jana.
ReplyDeleteNinasikia ratiba ya mechi za kimataifa iko hivi: mwezi ujao inakuja nchi ya Mongolia, mwezi wa nane Bhutan na inamalizia Nepal mwezi wa tisa ili mradi tushinde!!!
ReplyDeletetutaendelea kuhesabu ranks tu wakati ukiangalia kiwango kipo hoi,hivi toka tupepanda viwango hata challenge hatufiki fainali.ujanja wa TFF na kumlea maximo ni kutuletea timu vibonde tu ili tujisifu.tunajidanganya kweupe.tuleeteni MISRI,NAIJERIA,TUSIA,BAFANABAFANA,KAMEONI NA GHANA sio kutuletea wazungu wasiojiweza kisoka ili tupate sifa.subirini kitachowapata huko south wanapokwenda.Huyu maximo asichonge sana afundishe tu muda bado.
ReplyDeleteBasi Kipofu kaona mwezi. Bado kuwafunga Nepal tu, tuwe 36 kwenye Rank za FIFA
ReplyDelete