Meneja Masoko na uhusiano wa Exim Benki Christina Manyenye wa pili kutoka kulia akimkabidhi msaada wa vitabu vyenye thamani ya Shilingi Milioni Tatu Mwalimu Mkuu Richard Okore wa Shule ya Sekondari Tai iliyopo Wilaya ya Rorya mkoa wa Mara,(kushoto)Mkurugenzi wa Mikopo ya Elimu ya Juu George Nyatega(kulia)Meneja wa Fedha wa Benki hiyo Lydia Kokugonza. Meneja Masoko na uhusiano wa Exim Benki Christina Manyenye wa pili kutoka kulia, Meneja wa Fedha wa Benki hiyo Lydia Kokugonza (kulia), Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Tai iliyopo Wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, Richard Okore (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Mikopo ya Elimu ya Juu George Nyatega wakiangalia vitabu vyenye thamani ya Shilingi Milioni Tatu vilivyokabidhiwa na benki hiyo kwa walimu hao, Dar es Salaam jana.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2009

    Hongera Exim kwa hilo ila kwa kweli huduma zenu, ARI na utendaji umeshuka sana kwa sasa(kwa maoni yangu).
    nilipowatembelea na kufungua account ya kawaida na Master card mwaka 2006 mlikuwa mnavutia sana. Lakini sasa hivi hamko tofauti na local banks nilizozokimbia zamani.
    Dr Frank.

    ReplyDelete
  2. gloria checheJune 19, 2009

    duuuh..hivi vitabu havibadiliki tu
    tangia mimi nipo sekondari tulitumia same books na hivyo vitabu niliachiwa na sista yangu ambayae tulipishana naye 6 yrs
    sasa hivi nipo harvard na ninakaribia kumaliza degree na bado wanatumia vitabu hivyo hivyo...ama kweli elimu ya bongo....wenzao huku hubadilisha vitabu almost kila mwaka kama si kila semesters..

    gloria cheche
    harvard university

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...