Ofisa Mtendaji Mkuu wa Akila Production Michael Urio (kushoto), ambao ndio wazalishaji wa jarida jipya la Msonge akiwa na Mhariri Mshauri wa jarida la hilo ambalo litakuwa linazungumzia masuala ya utamaduni, Kassim Mbegha (katikati) na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, Chiku Lweno, mara baada ya uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa klabu ya mgahawa wa Soma eneo la Regent Estate Dar asubuhi leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nitawezaje kuwasiliana na hawa jamaa? Mimi ni mkereketwa wa haya mambo ya utamaduni. Nitashukuru kama nitapata contacts zao. Google haijanisaidia.

    Matondo (matondo.blogspot.com)

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2009

    Michuzi,

    Huyo mdau wa kati amezuia herufi moja kwenye maandishi hivi ni e au o? (just a joke)

    Hawa jamaa ninawapa big up tunapenda kuona watu creative kama wao.

    Cheers mates!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2009

    Jina baya ndugu zangu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 19, 2009

    hongereni sana.
    Out of this but ni ya msaada:
    Qn. Hivi huyo ni yule Chiku wa ITV? Where is her smartness now days?
    Qn. Saloon gani huwa anahudumiwa niwape hata ushauri?
    To be honest alivyokuwa anakata nywele zake alikuwa anapendeza sana lakini hizi nywele za bandia anazoweka now days hazimpendezi hata kidogo. Kama huwa unafuatilia habari za kituo hicho utajionea mwenyewe.
    Kwa wanawake wote: Plz jitambue ulivyo ndipo uvae,umake uso au lolote lihusulo mwonekano wako.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 21, 2009

    We mdau wa June 19, 3:58PM mbona uko shallow namba iyo. Chiku is as cute as ever, even cuter now kuliko alivokuwa ITV. Nywele kwani ninni?...she wears her integrity, wisdom, and compassion. Now you go get an intellectual makeover...Miss superficial self. Kha! Mwache chiku wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...