kabla ya kunyoa kialaza supa modo flaviana matat alikuwa hivi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. JAMII FORUMS IMEZUKA TENA NA LIST MPYA YA MACELEBRITIES.

    TEMBELEA HAPA UJIONEE

    http://jamiiforum.blogspot.com/

    http://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/31575-list-celebrities-bongo-12.html#post498521

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2009

    vipi michu, mchumba nini?? niliona hata kule daily news umepamba sana, kuna nini mkuu. nashangaa haukuweka mikonozzz au uliogopa globu ya kula jirani ya pili wangemwaga razi????????

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2009

    Flaviana

    Ushauri wangu? Rudisha nywele zako. Unapendeza zaidi ukiwa na nywele. Kipara hakikufai!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2009

    uko bombaaaaaaaaaaaaaaaa mdau italy

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 24, 2009

    cute girl,i love her

    ReplyDelete
  6. M-beijingJune 24, 2009

    Kwa tathmini ya Haraka haraka Flavia ndiye Model pekee ambaye Mithupu anamtangaza sana na pia kumtembelea aliko (last week South Africa)
    Mama Michuzi upooo???

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 24, 2009

    she is a PURE beauty from TZ.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 24, 2009

    Oooh man she is cute. Mwanamke nywele bwana

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 24, 2009

    Daah..kaka naona una hisa!!!au unampango wa kuwekeza

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 24, 2009

    Sheikh Issa waislam sisi tunaruhusiwa kunongeza hivyo basi usihofu kuiarifu globu ya jamii juu ya huyu mama yetu mpya (Flavian).teheeee!!!! teheeee!!!!

    ReplyDelete
  11. Cute, with or without hair. U rock

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 24, 2009

    Matata kwelikweli,lkn sikumtambua kwa sababu ID yake "kipara" haipo!
    Vyovyote anapendeza sana,I LIKE HER!
    Ushauri: Kwa wa dada wote wanaochipukia katika urembo huu wa kukata nywele kuweni makini na muombe ushauri kwa salooners vichwa vingine vina ramani mbaya sana.Kumbuka huwezi kuwa kama mwingine uliyemuona kapendeza. AM OUT

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 24, 2009

    alozi wa nanihii

    pliz naungana mikonozzz na wadau apo juu...TUFAHAMISHE BASIII BLOGU YA JAMII

    dah,mtoto analipa sana ila nywele aneziweka natural angelipa zaidi

    asante ujumbe sie ndo tumeupata kiivo mithupu laa fafanua

    teh

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 24, 2009

    Umependeza una kamdomo kapana

    ReplyDelete
  15. she looks good with or without it, keep it up girlfriend

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 24, 2009

    She is a beuty queen.With or without hair.I love the way she talks.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 24, 2009

    I like her. She is 100% natural beauty and very simple. I'm sure she will reach her goals.
    Flaviana usibadilike wala usijibadili kwa namna yoyote kwaajili ya kulewa sifa au kuutafuta umaarufu zaidi. Umaarufu huja naturaly. Nimependa interview yako na Michuzi ya south Afrika. umeongea ukweli na hakujishaua kama wengine.
    * Be nice to people as you go up! Because you might meet them as you go down.' Na panga maisha yako vizuri. Jiendeleze na Masomo na kama ulivyokiri kuwa Modelling ina muda wake. Itafika mahali hutaweza kuendelea na modelling na kutakuwa na chipukizi wengi. Usifuate mikumbo ya kwenda na fashion. Ma designer wanaumiza vichwa vyao kila kukicha. Tengeneza feature yako sasa ili usikumbuke shuka wakati kumekucha

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 26, 2009

    dada umebarikiwa lakni mwanamke nywele asikudanganye mtu, vipara wachie wenyewe madume

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...