Home
Unlabelled
flaviana matata enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bomba
ReplyDeleteJAMII FORUMS IMEZUKA TENA NA LIST MPYA YA MACELEBRITIES.
ReplyDeleteTEMBELEA HAPA UJIONEE
http://jamiiforum.blogspot.com/
http://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/31575-list-celebrities-bongo-12.html#post498521
vipi michu, mchumba nini?? niliona hata kule daily news umepamba sana, kuna nini mkuu. nashangaa haukuweka mikonozzz au uliogopa globu ya kula jirani ya pili wangemwaga razi????????
ReplyDeleteFlaviana
ReplyDeleteUshauri wangu? Rudisha nywele zako. Unapendeza zaidi ukiwa na nywele. Kipara hakikufai!
uko bombaaaaaaaaaaaaaaaa mdau italy
ReplyDeletecute girl,i love her
ReplyDeleteKwa tathmini ya Haraka haraka Flavia ndiye Model pekee ambaye Mithupu anamtangaza sana na pia kumtembelea aliko (last week South Africa)
ReplyDeleteMama Michuzi upooo???
she is a PURE beauty from TZ.
ReplyDeleteOooh man she is cute. Mwanamke nywele bwana
ReplyDeleteDaah..kaka naona una hisa!!!au unampango wa kuwekeza
ReplyDeleteSheikh Issa waislam sisi tunaruhusiwa kunongeza hivyo basi usihofu kuiarifu globu ya jamii juu ya huyu mama yetu mpya (Flavian).teheeee!!!! teheeee!!!!
ReplyDeleteCute, with or without hair. U rock
ReplyDeleteMatata kwelikweli,lkn sikumtambua kwa sababu ID yake "kipara" haipo!
ReplyDeleteVyovyote anapendeza sana,I LIKE HER!
Ushauri: Kwa wa dada wote wanaochipukia katika urembo huu wa kukata nywele kuweni makini na muombe ushauri kwa salooners vichwa vingine vina ramani mbaya sana.Kumbuka huwezi kuwa kama mwingine uliyemuona kapendeza. AM OUT
alozi wa nanihii
ReplyDeletepliz naungana mikonozzz na wadau apo juu...TUFAHAMISHE BASIII BLOGU YA JAMII
dah,mtoto analipa sana ila nywele aneziweka natural angelipa zaidi
asante ujumbe sie ndo tumeupata kiivo mithupu laa fafanua
teh
Umependeza una kamdomo kapana
ReplyDeleteshe looks good with or without it, keep it up girlfriend
ReplyDeleteShe is a beuty queen.With or without hair.I love the way she talks.
ReplyDeleteI like her. She is 100% natural beauty and very simple. I'm sure she will reach her goals.
ReplyDeleteFlaviana usibadilike wala usijibadili kwa namna yoyote kwaajili ya kulewa sifa au kuutafuta umaarufu zaidi. Umaarufu huja naturaly. Nimependa interview yako na Michuzi ya south Afrika. umeongea ukweli na hakujishaua kama wengine.
* Be nice to people as you go up! Because you might meet them as you go down.' Na panga maisha yako vizuri. Jiendeleze na Masomo na kama ulivyokiri kuwa Modelling ina muda wake. Itafika mahali hutaweza kuendelea na modelling na kutakuwa na chipukizi wengi. Usifuate mikumbo ya kwenda na fashion. Ma designer wanaumiza vichwa vyao kila kukicha. Tengeneza feature yako sasa ili usikumbuke shuka wakati kumekucha
dada umebarikiwa lakni mwanamke nywele asikudanganye mtu, vipara wachie wenyewe madume
ReplyDelete