msanii mpya nyota wa hip hop GTK alonga na globu ya jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2009

    NAPENDA KAZI ZAKO MSANII. ILA NAOMBA NIKUSAHIHISHE KIDOGO TU. RAIS HAKUSEMA MRUDI KUIENDELEZA TANZANIA. ILA ANASEMA KWAMBA ENDELEZENI NCHI YENU. MNAWEZA KUWEKEZA NCHINI TZ HATA MKIWA NJE. KWAMBA KURUDI TZ NI SABABU YA MANENO MAZURI YA RAIS, SIDHANI KAMA NI KWELI. NAHISI BINAFSI MAISHA YA USA YAMEKUSHINDA, UKAONA UJARIBU HOME. HAIJI AKILINI KUWA HADI RAIS ATOE HOTUBA NDIYO UTAVUTIWA KUDUDI. UNGEKUWA UMEWEKEZA KWA BISHARA YA MAMILIONI, NINGEKUBALI KUWA RAIS AMEKUVUTIA KWAMBA MAZINGIRA AMEYAWEKA VIZURI KWA WAWEKEZAJI. TENA KWA MUZIKI BONGO UTAIBIWA SANA. KUNA SWALA LA HATI MILIKI LINA MGOGORO SANA. UNASEMAJE KUHUSU HILO UKILINGANISHA NA USA?
    WAAMBIE WABONGO WANAOTAKA MAISHA USA KWA KUTUMIA MIFANO YA WALIOFANIKIWA NA WALE WALIOSHINDWA KAMA WEWE, ILI WAJICHAGULIE KWENDA USA AU LA. SIYO KUKANDIA TU MAISHA MAGUMU. LABDA MAGUMU KWAKO. WENGINE WANAPETA SANA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2009

    why do you have to lick ur lips @ 5 secs...it's so annoying especially kama mtu unataka kufuatilia unachoeleza ushauri wa bur "be yourself" you don have to be americanized in order to be accepted

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2009

    hongera kwa kurudi manaana hapa kwa swala muziki ingekuwa vigumu sana kwa muziki wako wa b flava kukubalika hapa unyamwezi,

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2009

    Katika muda uliokaa umebahatika kutengeneza karatasi? Usipafagirie sana BONGO wote twajua ni pagumu bwana.

    I`m just say.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 07, 2009

    Samahani kwa kukuhukumu vibaya hapo nyuma kweli mtu bora uwe naye karibu ndio umjue, sijawa karibu ila kukusikia GTK ni sawa na kuwa karibu, GTK umeongea vitu vya maana sana huku kama watu watakusikiliza kwa makini. GTK kaongea bila kuponda watu kaongea kujifafanulia HIp-hop ni nini hasa na sivyo watu wengi wanavyochukulia mengine tutamsikiliza kwenye Album yake. Hongera Kaka mungu akuzidishie mazuri akuepushie mabaya. MZ.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 08, 2009

    what's your real name? siulizi kwa ubaya ila thats all we need to know the true GTK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...