hussein machozi ni kifaa kingine ambacho kinatamba bongo kwa hivi sasa....
Home
Unlabelled
hebu lia na hussein machozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
hussein machozi ni kifaa kingine ambacho kinatamba bongo kwa hivi sasa....
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dah dogo kasimama sana,bongo kumbe kuna vipaji vingi hivi duh si mchezo
ReplyDeleteNyimbo ni nzuri lakini beats na sauti kainga za Mbilia Bel.
ReplyDeleteday I say the very best...please help...where can i buy hiyo cd ya hussein machozi...anybody?
ReplyDeleteNilikataa nilikataa sasa nimekubali, nilikataa nilikataaa sasa nimekubaliiiii eeehh! Jamani kaka mbona sauti umebarikiwa hivyo mmhh sisemi zaidi.Nimekumind sanaaaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteNimekubala mwana bongo kuna vichwa si mchezo!!Lakini hio video yake amei shoot Nairobi...basi utasikia wakenya watadai jamaa ni kutoka kenya....mmmm mie simo.
ReplyDeletemziki mtamu,vijana wa bongo nuksi naona ni dar mpaka naii!!!
ReplyDeleteusije ukamsahau BELLE9 ni another problem pia
ReplyDeleteNice number and beautiful video...Thanks Michuzi.
ReplyDeleteBravo Hussein Machozi..Uko sawa mzazi...Kaza buti,very nice song.
ReplyDeleteHaya kina Machozi mnafanya makosa yale yale ya kina Mbaraka Mwinshehe, Atomic Jazz, Tabora Jazz, Western n.k kwenda kurekodi Nairobi, afadhali wazee wazima wa zamani watasema kulikuwa hakuna studio TZ.
ReplyDeleteHati miliki za wazee wazima mpaka leo makampuni Nairobi wanakula mshiko, je Vijana wenzangu hayo mnayaangalia? Fanyeni kazi zenu Bongo mdhibiti hati miliki kwa sheria za Bongo.
Mdau
Kizazi Kipya Mjanja.
nyie mnaolaumu kwamba kenda kushuti nairobi na ni kosa hebu grow up kidogo. Video imefanywa na mbongo (Adam Juma - Visual Lab!)! Nairobi ni location tu, mbona wasanii kibao wa mamtoni wanaenda nchi zingine kushuti video? Wengine walikuja mpaka bongo (john legend, loon etc). Hebu acheni majungu and enjoy the music....
ReplyDeletebig up hussein i see ur on the up bro keep hustlin usisikilize majungu!
Kweli wangapi Marekani wana Shoot Nje Kanye west Diamond kashoot Paris na 50cent na Justin wame shoot London, Keri Hilson na Timbaland Wame shoot Manchester,England Wazaiere au wa Congo wengi Video zao wana shoot France. Aaliyah mungu amrehemu ame shoot video yake ya mwisho Carribean. Wacha Watanzania wapanuwe vipaji kila kwenye uwezekano wakujitangazia rahisi. Dizo.
ReplyDeletehaki kijana ana maudhui kwani vina na mizani pamoja na sauti vimekwenda shule, mmh big up dogo
ReplyDeletenimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu huumziki wa kizazi kipya wa bongo kwa muda mrefu sasa,lakini nikisikiliza kwa makini kuanzia bits zao na mashairi maranyingi utakuta kuma makundi kama matatu hivi ya style za uimbaji wao.
ReplyDeletekusema kweli WENGI BADO WANAIMBA KWAYA TU,na nyimbo zao zinadumu kwa umaarufu kwa muda mfupi sana kisha zinachuja na kuwa hovyohovyo kabisa,ila bado nina matumaini kwamba huenda baada ya muda kutakuwa na madiliko mazuri tu.
kazeni buti vijana nimeshaanza kuona baadhi ya wanamziki wanaanza kufanya vizuri na hatamziki wao unaweza kusikilizika pia ktk nchi nyingine.
sio kwamba ninawaponda ila najaribu kuwastua kuwa kazi bado mnayokubwa msiridhike mkaona mmekwisha fikia hatua nzuri,huu ni mwanzo tu mziki wenu bado haujatulia vizuri.au huenda mnamtumia producer mmoja ambaye creativity yake sio pana sana kuweka mziki ktk vionjo tofauti ili usifanane na kuwa kama kwaya.hili lizingatieni sana maproducer na ma composer wa muziki wa kizazi kipya.
angalia mtu kama DR.DREE kazizake anazofanya huwezi ku notice mfanano kati ya mwanamziki mmoja na mwingine,pia kati ya wimbo na wimbo. lakini nyimbo za bongo nyingi ukisikiliza bits zinafanana na flow ya mashairi pia inafanana kwa nyimbo nyingi sana,sasa hii inareflect low creativity.
ANOTHER ALI KIBA OR Z ANTHONY,ILA SIYO MBAYA KUIGANA.
ReplyDeletewatu wengine wazushi tu! wabongo bwana!
ReplyDeletemimi nakubaliana na huyu anonymous hapo juu ya kwamba vijana wanavipaji sema wamepoteza nguvu ya ku create identity zao wenyewe,kwa mfano huyu dogo anasauti nzuri sana, sema anataka kuimba kama Alikiba sasa hapo ndo amepoteza,
ReplyDeleteVijana kamueni na tumieni vipaji vyenu kwa umakini ili mjitengenezee vitambulisho vyenu wenyewe
Aisee,, bongo wasanii bomba kumbe wengiiiii,,kaza buti dogo
ReplyDeletekijana yuko juu aisee!! all the best
ReplyDeleteyeuwiiiiiiiiiii
ReplyDeletedah uyo demu bombaaa,kaka sauti balaaaaa
kumbe ni mmbongo??tuko juu ivi??
oooh no sina la kusema
asante
dada u mrembo na mzuri saaana
ReplyDeletebasi
tutapataje CD za awa vijana
ReplyDeletemachozi,barnaba nk nk
Wewe Anon wa 10:32 hebu jaribu kuandika kiswahili vizuri sio mnatuandikia matusi huku kwenye blog ya jamii pumbavu!!!.
ReplyDeleteNyimbo ni bomba sana vijana wanajitahidi sana.
siutan anonny wa june26 saa 10:40AM nilipitiwa na ilikuwa usiku ndiyomaana unaona hiyo typing error hapo,sijakusudia kuandika matusi,hata ukisoma utagundua tu ktk sentensi ni kupitiwa.lakini sikulaumu kwakuwa comment ulivyoitoa ina reflect jinsi ulivyo hata ktk mahusiano ya kwaida.
ReplyDeleteok asante.lakini nakanusha kuwa mimi sio mpumbavu kama unavyodai au unavyo immagine.huenda ukiweza kuniona live utajisikia aibu pia wewemwenyewe kwa jinsi ulivyoandika comment yako kunikaripia.
mdau wa blog ya jamii.
wewe anon unayetukana watu wapumbavu huwezi kusoma ukaona jamaa alipitiwa tu!maana hakuna uhusiano wa kiliandikwa na matusi!hahaha anyway vijana mnanyodo kweli! hongereni wanamuziki ila kweli jitahidini ku create identity msiigane mtajiharibia soko wenyewe.
ReplyDeleteMachozi namkubali...Hongera mkuu. Sioni tatizo ktk hii kzi yako...
ReplyDeleteNyimbo kali, Lyrics kali, beat kali, video kali...keep it up.
...msijali siku moja wanablogu wote wa jamii (wabeba box na wala vumbi) wooote tutakutana pale A-town mitaa ya ngurdoto ili TUJUANE ZAIDI na mgeni rasmi ni mtu mzima mwenyewe mzee wa mikonozzz...
ReplyDeletesipati picha itakuwaje...hahahahaaa
just thinking loud...!!!