Athuman Iddi 'chuji' ambaye aliibuka mfungaji bora katika mashindano ya Kili Taifa Cup akibeba kikombe cha ushindi alichokabidhiwa na RC wa DSM huku Oscar Shelukindo brand manager wa Kilimanjaro Premium Lager (shoto) na Mbunge wa Ilala Mh. Mussa Azan Zungu mwenye kofia kati ya Mh. Lukuvi na 'Chuji' wakishuhudia
Mkuu wa Mkoa wa DSM, William Lukuvi akikabidhi mfano wa hundi ya sh. Mil 30 kwa viongozi wa timu bingwa wa Kili Taifa Cup, timu ya Ilala ukumbi wa Africentre pub Ilala. Timu hiyo ilifanyiwa sherehe kubwa za pongezi na mdamini mkuu wa Kili Taifa Cup TBL.

Kocha wa bingwa wa Kili Taifa Cup 2009 Jamhuri Kihwelo 'Julio' akikabidhiwa kitita cha sh. Mil 2,000,000 na Mkuu wa Mkoa wa DSM Mh. William Lukuvi ukumbi wa Africentre Ilala wakati timu hiyo ilipofanyiwa sherehe ya kufa mtu na TBL.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2009

    Michuzi naona umeiazima leo fulanazz.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...