Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akikabidhi kikombe Kwa mshidi wa kwanza Kwa Usafi wa Majiji Naibu Meya wa Jiji la Mwanza Bw. John Minja ambao pia na washindi wa kwanza wakati wa Sherehe za Siku ya Mazingira Duniani iliyafanika Mkoani Tabora kulia Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Abedi Mwinyimsa , Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dk Batilda Burian. Picha na mdau Ali Meja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jiji wezi watupuJune 06, 2009

    Usafi, Usafi!! Usafi kitu gani!! tengenezeni barabara huko!! Kazi kula rushwa tu!
    Ebu cheki barabara ya kilimahewa/kiloleli, yaani imegeuzwa dili kichizi na hawa jamaa wa jiji.
    Wakazi wengi wa mwanza waishi eneo hili, ila cheki hadi leo barabara haina lami, ikiharibika sana, wanamwaga 'mchanga' then huko sijui wanavyoandika, hata wiki haimalizi imeharibika tena!
    Acheni kutunyanyasa hivo, kwani kule bwiru, mecco, kirumba kuna nini hadi kuwe na lami na taa za barabarani lakini sio kilimahewa amabaki nguvu kazi kubwa ya mwanza ndo inakoishi, au kwa kuwa vigogo hamkai huku!!
    Wizi mtupu!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 07, 2009

    Michu jiji (mji) la mwisho ni lipi kama si Mbeya!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 07, 2009

    mji au jiji la mwisho kwa usafi bila shaka ni Dar as salaam mbeya cha mtoto

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...