
Kikao hicho kimeaza leo (Juni 8, 2009) mjini Shinyanga.Kesi za mauaji ya Ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi ama Albino zimeanza leo katika mahakama kuu za kanda ya ziwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi. Kesi hizo zinatarajiwa kusikilizwa mfululizo kwa siku 35.
I don see any need for a case maana hawa watu wangepaswa wanyongwe kitambo
ReplyDeleteNdugu zangu mimi ninapoona wauaji kama hawa na pia linapokuja suala la mawakili wanaowatetea ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo wanakuwa na picha halisi ya kuhusika kwa wateja wao katika kesi husika ya mauaji, na bado wakatumia taaluma yao kuwalinda hao wateja wao kwa kuwatetea mahakamani kwa nguvu zao zote ili washinde kesi, basi mimi uwa nashindwa kuelewa uhalali wa wa binadamu kutetea maovu ili tu apate fedha. je,viko wapi haki na uhalali wa fedha hiyo inayopatikana kwa kuwatetea waovu kama hawa huku wakili ukiwa umeshajua kwamba watuumiwa unaowatetea wamehusika katika mauaji kutokana na maelezo yao wanayokuwa wamekupatia mapema?
ReplyDeleteNaomba kuelimishwa hapa ndugu zangu.
Ho jamaa sura zao sio za kiuaji,watafute wauaji hao wana njaa wala dili za kuawa hawana
ReplyDeleteAn wa 8:19:
ReplyDeleteNi kweli inasikitisha kusikia mawakili "wakitetewa." Lakini kisheria mtu yoyote yule ana haki ya kujitetea; na wajibu wa korti ni kutoa hukumu ipasayo pasipo kasoro (doubts) - pale mshtakiwa anapokana mashtaka. Na kama unavyojua hao mawakili ni wa Serikali yetu.
Hii yote husaidia kuondoa au kupungunguza maamuzi kwenye korti yenye chembechembe za ukandamizaji kwa wananchi.
Another thing; if we decide to just execute them or put them in jail for the rest of their lives, then where do we draw the line. Kuna kesi za ubadhirifu, mauaji mengine, uwizi, ujambazi n.k. Fikiria halafu utaona picha kamili.
Ndio hali halisi..ndio system ilivyo au ipasavyo kuwa hivyo.
Typo @ 9:57 am
ReplyDelete" Ni kweli inasikitisha 'wauaji' wakitetewa."
kisheria lazma mtu awe na mwakilishi mahakamani katika kesi za mauaji... so huyo wakili anaweza akawa analipwa na serikali ili tu procedure zifwate, na yeye c kama atawatetea atafanya kazi ya kuisaidia mahakama ifikie right decition, yani maamuzi sahihi
ReplyDeletekesi yoyote ya mauaji kama mtu hana mtu wakumtetea basi serikali inamtaftia wakili
Alcapon
Nashauri huyo lawyer na Hakimu wawekewe ile picha ya albino aliekatwa miguu wawekewe mbele hapo mahakamani wajue uzito wa hilo suala.
ReplyDeleteJamani kesi ya mauaji ina mambo mengi huenda hawa jamaa hawana akili nzuri kutokana na ugumu wa maisha maana mafisadi wameikamua nchi hadi binadamu wenyewe kwa wenyewe wanauana kutafuta maisha bora.
ReplyDeleteHATUTAKI hii kesi
ReplyDeletetunataka MAFISADI APA alaaa!!