Swahili is the funniest of all languages. At least where computers are concerned. Now that I hear they will soon be releasing software and websites in swahili, I went ahead and gave them a few translations to some of the things we are used to using in English. On Microsoft Word...
Save- OkoaSave as- Okoa matako
Shift cells right- Peleka Jela zote kulia
Insert- Ingiza
Redo- Fanya tena
Undo- Fanyua
Insert table- Ingiza meza
Insert break- Ingiza na uvunje
Select all- Chagua wote
Cut- Tahirisha
Change Case- Badilisha Kesi
Upper case- Kesi ya juu
Lower case- Kesi ya hali ya chini
Italize- Fanya jambo kama waitaliano
On the internet
Go- Kwenda
On the internet
Go- Kwenda
Facebook- Kitabu cha nyuso
MySpace- Mahala panguY
ahoo- Ya nani
Google- Jina lisili maana. Latamkwa sana sana na watoto wanaojifunza kuongea
Inbox- Sanduku la ndani
Inbox- Sanduku la ndani
Outbox- Sanduku la nje
Search- Sorora
Click here- Pigia mdomo hapa
Sign out- Peleka saini nje
Download- Mzigo uliyo chini
Hits- Kutwangwa mara mingi
Bookmark- Alama kwenye kitabu
Back- Mgongo
Home page- Ukurasa wa nyumbani
Log in- Tia mti ndani
Log out- Toa mti
So have a great swahili day, wont you?
hujatulia na akili yako ina wehu
ReplyDeleteNEWZZZZ
michuzi pliz,tutumie taarifa ya mabomu kule mbagala (11) naskia matents yale ya wahanga yamefumuliwa,watu wamelazwa tena hospital nk nk nk
jamani???kwanini wasihamishe/evacuate all the pple there to some places???
ivi ichi ndo nini?mkuu wa mkoa kazi yake nini?kazi ni kuvaa CHENI tu shongon au???
nakereka sana mana nna ndugu zangu kule na sijui niwaweke wapi,nataman ningekuwa EPA niwajengee na kuwahamisha kabisa uko!!
#@@%&**>::"""%***+**@@
I guess ku log in and ku log out ni tia gogo ndani na tia gogo nje kwani hakuna tree in and tree out,mhandishi wa kimatumbi tree ni mti na log ni gog.Mi mmatumbi zaidi yako.
ReplyDeleteCaps lock...kofia zimelokiwa
Enter...Ingia
Backspace...sehemu ya nyuma
tehehhheeee...!!! hehe Uuh! Jamani mbavu zangu, eeehehehehe, du uh!!
ReplyDeleteWewe nia yako ni kutaka kukiharibu kiswahili, au ndiyo nyie kila baya mnaliita `uswahili'
ReplyDeleteKiswahili nilugha nzuri kwa wenye kuelewa. Ina tafsiri zake nzuri tu, ila sisi tunataka tafsiri za mitaani. Jamani hivi tunataka kila kitu tutafutiwe, hata lugha, yaani tu watumwa hata `kuongea kwetu' hapana nafikiri kuna kitu.
M3
It's rubbish!
ReplyDeleteI personally think its going to be a monumental task to find swahili words for all those computer terms. Think of it this way
ReplyDeleteFirst you have to learn to recognise the english word
Then learn its swahili equivalent
Then learn its application
Dont you think it would be easy just to learn to recognise the command and then execute
Or simply teach COMPUTER ENGLISH
A simplified english programme tailor made for computer users
Wakatabahu
PS What is this Mbagala thing the mdau above is talking about
UNLESS YOU WANTED TO SOUND FUNNY, THIS IS NOT ANY WORK WORTH A CREDIT. USITUDANGANYE. KUNA TAFSIRI NYINGI ZA KISWAHILI ZILISHAFANYWA KABLA. WALA HAZIKO KAMA HIZO ZAKO. WAULIZE WATU WA UDSM WANA KITU WANAITA "Linux". WAULIZE WANAENDELEAJE. NI SOFTWARE AMBAYO ITASAIDIA KUTUMIA KOMPYUTA KWA KISWAHILI. WALISHAANZA UTAFITI WA MUDA MREFU. MBONA UNALETA UTANI KAZINI DOGO???
ReplyDeleteHizo tafsiri zako hazina maana kwani sio lazima wakati unatafuta neno kwa Lugha ya Kiswahili utafsiri neno mojamoja. Unaweza kuja na neno jipya au ukatohoa na likatumika vizuri tu na kuleta maana na matumizi mazuri ya Lugha. Pia ukumbuke kuwa Kiswahili kina maneno mengi sana yenye maana mbalimbali na si yote tunayaatumia katika maongezi ya kila siku.
ReplyDeleteduh kuna baadhi ya watu hapa wako thick skulled kweli! It isobvious this is meant to be a joke.
ReplyDeletewadau, the guy was making fun. it is not the actual translation.
ReplyDeleteyaani mbavu sina. nadhani wewe ni mmojawapo wa orijino ze komedi
ReplyDeleteNaombeni wadau mnitoholee kwa lugha yetu maana ya neno FEEDBACK.
ReplyDeleteAsanteni.
wewe mdau hapo juu unauliza nini wakati jibu unalo. FEEDBACK si ni lisha nyuma.
ReplyDeleteFEEDBACK=mrejesho,mrejesho wa taarifa
ReplyDeleteumeelewa?
Feedback === Mlisho nyuma, period
ReplyDeleteMwandishi ni fukara wa lugha zote mbili - Kiswahili na Kiingereza.
ReplyDelete