Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Massoud Jr., safarini Columbus, OHJune 08, 2009

    Ni kweli Mh. Kipanya bila tatizo lolote. Hata hivyo inabidi uwe mwangalifu sana na mjanjamjanja ili wabunge wenzio(hasa wa upinzani) wasijue.
    Unachotakiwa kufanya ni kuwatumia sana watendaji wako wa chini kuanzia katibu mkuu, wakurugenzi na washauri wako ili wao ndio wawe wanaandaa hoja zote husika na pia wakati wa kuidhinisha unakuwa uko safarini na wanasaini hao walioko chini yako,.
    Hayo yaliwahi kufanywa kwa ujasiri sana na Mh. CD Mthuya na Pesa2 Mramba kwenye majimbo yao.
    Swali la nyongeza kutoka kambi ya upinzani??????????????????????

    ReplyDelete
  2. Kwa sera hii ya kila waziri kupendelea jimbo lake kwenye bajeti,watu wa Geita maendeleo tutayasikia tu kwa wengine.Kama takwimu zangu ziko sawa,tangu tupate uhuru hatujawahi kupata waziri hata naibu waziri tu.Kama hii ndiyo sera ya nchi nani atapanga bajeti ya kutubeba Geita? Pamba nayo imekosa soko,la sivyo tungeuza pamba tukapata nauli ya kumfata mjomba mjini kumwambia mjomba amrudishe magufuri miundombinu au nishati ili apiganie maendeleo yetu tufaidike na utajiri wetu.Magufuri ni mpiganaji kwenye samaki ni kum-under utilize

    ReplyDelete
  3. Kikwete,hii sera ina kaharufu ka ukweli ndani yake.Ninavyomfahamu Mwandosya alivyoweka miundombinu ya maji mikoa ya kusini,kama angekuwa mtu wa Geita au Sengerema,bonde la Ibanda linalotoa mpunga kwa wingi pamoja kwamba watu wanatumia jembe la mikono na kuomba Mungu alete mvua,na bado linatoa mpunga kwa wingi na kuokoa maisha wa watu wa maeneo husika.Angepeleka mradi mkubwa wa umwagiliaji na kulifanya bonde lile kutoa mpunga wa kuilisha kanda ya ziwa kwa mwaka mzima na kuwafanya wasukuma kusahau machungu ya Pamba kukosa soko.Lakini kama sera ndiyo hii,taabu ya nini kesha imarisha kwao! Mjomba hii nayo tukipata nauli tutakufata magogoni,FFU wakituzuia,tutapitia Geti la WAMA kwa mama maana anakasura ka huruma,ataturuhusu tuingie.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 08, 2009

    kwa tanzania inawezekana kabisa,sitashangaa kama ni kweli.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 08, 2009

    Unauliza nini... kwani hukumsikia Magufuli kule Busanda?

    (Namheshimu sana Magufuli but kwa kuwaada wana Busanda eti atamshawishi waziri mwenzake alinikera. Aaaaaaa.... bwana Magufuli, wewe utaweza kupendelea jimbo lako kwa kujenga bwawa kubwa la Samaki? Halafu iweje...)

    Enzi za Mramba watu wa Rombo walifaidi jamani. Barabara hadi kwenye njia za panya zina lami Toba!

    ReplyDelete
  6. kwetu mwanzaJune 08, 2009

    Asante sana mr.kasamwa kwa comments zako,asante sana michuzi kwa kumpa nafasi Mr kasamwa kutuma ujumbe kwa mjomba.Nampongeza Kikwete,Mkapa,Lowasa kwa kupigana mpaka kamradi ka tumaji twa ziwa kufanikiwa kuwafikia wananchi(haka ndiko kakiswahili ketu ,Msinimisi-koti,kama Chenge,Sisi tulimwelewa kabisa ).Naomba mipango makini ifanyike ili watu wawe na kilimo cha umwagiliaji badala ya kutegemea zao moja tu la msimu la pamba ambalo kila kukicha linapoteza soko kwenye anga za kimataifa.Mwandosya chenza twambombo tununu,vizuri usukumani kama ulivyocheza mikoa ya kusini,najua unaweza,ili watu hawa wabadili maisha kwa kutumia raslimali asilia inayowazunguka.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 09, 2009

    ndo mana yake

    akili kumtwe,kalagabaho!!

    akili ni nwywele,kila mtu--------

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2009

    We kp hilo swali au jibu? hebu angalia rukwa inavyoangaliwa sasa kwa jicho la huruma! unajuwa kinachoikuta kigoma? washukuru wakimbizi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...