Nimekutana na wadada wakibishana kuhusu hawara na nyumba ndogo, kila mmoja akitetea upande wake yupi anaheshimika zaidi.
Nijuavyo mimi wote ni wezi wa ndoa za watu na hakuna mwenye kuheshimika zaidi. Sasa wadau sijui mnasemaje kuhusu hili. Na ukimfumania mumeo au mkeo kitandani na mtu mwingine nini cha kufanya?
Ni kipi haswa huwafanya mpaka wanaume wahamie kwa hawara au nyumba ndogo? Tupo hapa kwa ajili ya kuelimishana kunusuru ndoa nyingi, karibuni tuchangie mawazo.
KARIBU
Nakuunga mkon mithupu wote wezi watupu wakuheshimiwa ni mwenyemali mke/mume wa ndoa period....msilete ujinga hapa mswwwwwwwww (msonyo!)
ReplyDeletenikimkuta mwanamume yuko na mke wangu kitandani nitamfanya kati ya yafuatayo:(kwanza ujue nina magnum ndomaana hawezi kunizidi nguvu,na akibisha zaidi namtoa ubongo)
ReplyDelete1.naweza kumkata nanihii(abdalah kichwa wazi)kisha na mwachia maya eggs(testicles)
2.au nitamshikisha ukuta kwanza nayeye kisha nawafungisha ndoa hapohapo.
3.naweza kuwaacha nimwambie jamaa atoweke kabisa ktk eneo hilo,na wife nisimfanye kitu ila nakuwa makini asije niua hata kwa sumu.
kuhusu kuchepuka wengi unakuta kwanza alisha wahi kuonja chungwa mahali fulani,kisha anauziwa Tango kwenye gunia,sasa akifika akikuta ni tango anaanza kutafuta flavour tofauti kama vile embe,nanasi,limau n.k
ila ningeshauri labda angejifunza tu jinsi ya kula hilo tango hata kwa kutumia chunvi au sukari au mnasemaje wadau??
yap yap ni kweli kabisa lazima ajifunze kula tango kwani mpaka mnaoana mmeshajuana ni lazima mfundishane kila m2 anataka nini? kutoka nje ya ndoa sio suluhisho kwani huko napo utachoka utamtafuta mwingine matokeo yake ni magonjwa mimi nawashauri wanaume waache ujinga huo maana wengi ni tamaa tu hamna lolote kila mwanamke anampenda yeye ridhika na wako,kama anakwenda tofauti muelekeze hakuna ambae amezaliwa akijua kila kitu naongea hivyo koz yalishawahi kunitokea hayo pindi nipo chuo udsm but namshukuru mungu
ReplyDeleteNyumba ndogo ndio inaheshimika zaidi ya hawara!! Just to answer the question!
ReplyDeleteBabue nyumba ndogo au hawara ni moja kubadilisha hali ya hewa, akili, design ya malavidavi. Kwani we unaweza kula nyama ya ngombe tu kila siku? Naamini ni lazima ubadili siku nyingine hata angalau mboga za majani.
ReplyDeleteUkimkuta mtu na mwenza wako huyo mwizi hana lawama hata kidogo kwa sababu yeye kapewa kama unavyopewaga wewe wa kulaumiwa ni huyo anayegawa, afterall wewe una mkataba na huyomumeo/mkeo kwa nini ukamlaumu mtu asiyehusika na mkataba huo, pambana na anayegawa utamu wako
ReplyDeleteWote wezi wakubwa - mwenye heshima ni mke wa ndoa tu!
ReplyDeleteHawara ni neno lenye asili ya kiarabu lenye tafsiri kwa kiswahili sawa na nyumba ndogo, wote ni watu wenye affair na mtu mwenye mke nyumbani kwake. kwa hivyo hawara na nyumba ndogo sio watu wawili wanaofanana bali ni mtu mmoja anaeitwa kwa majina mawili tafauti ukimaanisha sifa ile ile moja alonayo.
ReplyDeleteMTU AKIKUCHUKULIA MUMEO/MKEO UJUE AWATAACHA KILA WAKI PATA NAFASI WATAIBA TU,UKIMFUMANIA MTU NA MALI ZAKO DAWA NI KUACHANA NAE STRAIGHT AWAY KWANI UZINZI NI TABIA,TUNAONA WAKE/WAUME ZA WATU,KILA LEO NA WATU TOFAUTI DAWA NI KU MOVE ON. IT'S THE BEST REVANGE
ReplyDeletenilichojifunza kwa wazungu huku euro ni kwamba ukimfumania partner wako unammind mpenzi wako na aliyekutwa na mpenzi wa mtu huwa hafanywi lolote na wala haulizwi(yupo safe...) lkn bongo ni kinyume chake ambapo ni upuuzi kwangu mimi
ReplyDeletemimi nitadeal na mwandani wangu jamaa simgusi na kama sijafunganae ndoa sifanyi lolote coz sina haki
Kule kwetu mwanaume kuwa na nyumba ndoko ni haki yake ya msingi ili aweze kumpunguzia mke wake shughuli nzito ya kila siku. Mwanamke yuko tayari kumwambia mume wake awe anatafuta nyumba ndogo ili mradi apate siku za kupumzika kwani asipopumzika afya yake hudhoofika kutokana na shughuli nyingi anazofanya mwanamke. Sasa hivi inaonekana ni mbaya sababu ya magonjwa lakini bado wanawake wanaruhusu na hawawezi kumuacha mume kwa sababu ya nyumba ndogo, wao hujiimarisha kwa kutengeneza familia yenye mahusiano mazuri na watoto wao.
ReplyDelete