Home
Unlabelled
mnuso wa hasheem thabeet kwa kuwa NBA Draft pick 2
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Oklahoma huyu...
ReplyDeletehongera dogo kwa kutuwakilisha watz mdau uk
ReplyDeleteKapata ulaji Memphis Grizzlies akashirikiane na kina Gasol.
ReplyDeleteHongera sana, liletee taifa sifa ufungulie milango na wengine.
Kokote kule mradi NBA na bendera itapepea, sasa Watanzania Wataingia Olimpic Basketball South Africa? Wataalam toeni maoni inakuwaje nchi ingine inashirika mchezo fulani Olimpic na nchi ingine inakuwa haina muwakilishi? Yao ming ndio anafaya China iingie Olipic a kunakuwa na factors zingine? Tunapenda kuomuona Hasheem akicheza na Watanzania wenzie pia. Cha maana si kutizama TV NBA cha maana ni changamoto kuinua michezo yote kwa ujumla ndani ya Tanzania. Msitegemee sana mpaka watu waje kuokota vipjai na kuviuza. Endelezeni na kugundua na kuuza vipaji vyenu wenyewe. Mfano Ray Allen alikataa kuwa na Agent kanegotiate deals zote mwenyewe. Hasheem kuwa na agent mzuri kumesaidia, tunamshukuru sana agent wake aliyemleta Marekani na kumfanya ajulikane na kuanzia high school hadi College na leo kuingia NBA draft. SHAQ NA LEBRON IN ONE TEAM? HASHEEM NA KG IN ONE TEAM? HASHEEM FOR CELTICS BOSTON, OKLAHOMA WATAMUUZA KWA CELTICS NA KUMCHUKUA PIERCE!!
ReplyDeleteHii habari haijatulia. Huwezi kusema anakuwa 2nd draft pick halafu hujui ni timu gani anayoenda. Memphis Grizzlies ndio wana rights ya 2nd draft pick, na wao ndio wenye rights za ku trade pick hii incase they choose to. Kwa mfano, Hasheem hawezi kuwa drafted namba 2 halafu akaenda LA Clippers kwani Clippers hawana namba 2 wanayo namba 1.
ReplyDeleteCongratulations to Thabeet and your family and go to Memphis and become the BEAST!
All the best,
Congrats Hasheem, what a day! All your hard work has finally paid off. Now keep working hard.. Go out there and make us proud.
ReplyDeletePhatlorenzo, MN
Teh teh treeeeeeee
ReplyDeleteWith the second pick in the draft, the Grizzlies take Hasheem Thabeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeet.
Tumuombe kwa mwenyezi mungu afanye vizuri
ICTM Mapendo
Teh teh treeeeeeee
ReplyDeleteWith the second pick in the draft, the Grizzlies take Hasheem Thabeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeet.
Tumuombe kwa mwenyezi mungu afanye vizuri
ICTM Mapendo
Mr Suavito
http://www.nba.com/video/channels/draft/2009/06/25/nba_090625_draft_pick2.nba/
ReplyDeletesasa huyu raisi wa TBF amekuja huku kufanya nini?
ReplyDeleteamehusika vipi na Hasheem kuja hapa? alipokuwa bongo mbona hawakumuona? na sidhani hata kama wangempa number kucheza pazi or timu ya taifa something
leo vitambi mbelembele kuja kwenye draft ningekuwa mi ndo hasheem ningewatosa tu
duh hongeara sana dogo. mungu akusaidie ushine sana NBA ili sisi tuendelee kujivunia wewe. nampongeza girlfriend wako pia yule mtoto wa kimarekani natumai hutamtosa baada ya kuwa maarufu!
ReplyDeleteAntony
MZEE WA SINZA USHATOKA HIVYO TENA,AT LEAST WAJENGEE WABONGO HATA UWANJA WA BASKET WA MAANA MANAKE NAJUA AFTER SEVERAL YRS U WILL BE ABLE TO DO SO KIRAISI TU,TAIFA INDOOR IS ALL "STINKING",BIG UP BIG DAWG!!
ReplyDeleteMDAU,ATL!!
you go boy..gud luck 2 u...
ReplyDeleteGood move, nilikuwa naombea apate Oklahoma sababu wana guard mzuri. Lakini still anaweza kudevelop quick
ReplyDeletehongera hasheem! Tunakutakia mafanikio makubwa katika safari yako.
ReplyDeleteHongera Hasheem, Wakilisha mwana, kwa wasiojua vitu vyake chekini hapa http://www.youtube.com/watch?v=5GFC5892OTs
ReplyDeleteMichuzi inyonye hiyo weka kwa baraza.
Heko sana Hashim Thabit.
ReplyDeleteJitahidi sana kufanikisha kilichokupeleka huko ila usisahau ulikotoka (Unafahamu mwenyewe maisha yako kabla hujafikia mafanikio hayo). Wekeza nyumbani kwasababu itafikia muda ni lazima urejee huku (usiwe na mawazo ya walio wengi wasiopenda kurudi Dar). Nyumbani ni nyumbani tu Hashim.
Hongera sana. Tena Hongera.
Memphis Grizzlies ndio timu yake...
ReplyDeleteHongera sana kwa kazi nzuri na bidii.
ReplyDeletemmh na joto lote hilo na hiyo four piece ni kazi kweli kweli
ReplyDeletewakondya mwan wise! maana yake asante mtoto wa dad!
ReplyDeleteinapendeza kuwa Tanzania inawakilishwa vema.. ila bado ni kupitia juhudi za mtu binafsi.. serikali bado haijafanya mkakati wa makusudi kuinua michezo mingine inayoweza kuletea nchi sifa kama basketball au riadha, ingawa naipongeza serikiali kwa kuinua soka.
ReplyDeleteBIG UP Hasheem!
hashim angalia usije ukanunua uraia wa USA, maana tunapenda uendelee kutangaza bongo land
ReplyDeletedah! wacheki hawa wanyamwezi wa memphis wanavyomuua mchizi wetu...kweli kazi ipo !!..
ReplyDeletegonga hapo..http://www.memphisflyer.com/BeyondtheArc/archives/2009/06/25/the-case-against-thabeet
jamani hapa ninabishana na mkenya naambia heti sio mtanzania niyakweli haya
ReplyDeleteWadau Kolikoli ameishia wapi ?
ReplyDeletejamani uyu ni MTANZANIA?????
ReplyDeletewhy hakuna profile yake apa??
michuzi fatilia ilo,uyu ni celebrity sasa so mambo ya kuanika kilakitu chake-backgroud zake ni muhimu tupate pa kujitambia,,,maana mt kilimanjaro na serengeti ziko kenya sasa
Hasheem hongera sana. Ila itakapofikia suala la mchumba na kuoa urudi nyumbani- uoe mwanamke wa nyumbani. Huyo demu wako wa kimarekani umuache.Kwa kweli sipendi wanamichezo maafuru toka Africa wanapooa wageni. Africa kuna wanawake pia. Na hii itasaidia kuwekeza nyumbani. Angalia Yao Ming- mkewe mchina Mwnzie, Dikembe Mutombo-mkewe Mkongo mwenzie.Fuata nyayo hizo.
ReplyDeleteKila la kheri.
Hasheem kilichokupeleka USA ni kucheza basketball zingatia hilo kwanza na mengine yatafuta. pia kumbuka familia yako, mama na wadogo zako, kwa sasa hivi.
ReplyDeletekwa watanzania wenzangu muachane huyu mtoto afanye kazi yake. acheni kumzonga na matatizo yenu, mara mambo ya kuwekeza nyumbani, sijui ajenge uwanja wa basketball. inakera sana.
NAKUTAKIA KILA LA HERI.
Huyo Bibo na hiyo TBF yake anawakilisha watanzania kivipi jamani? Watu kurukia mafanikio ya wengine tu. Nani kalipia nauli yake! Hasheem ndio anayetuwakilisha wengine ni kumsupport tu. Huyu jamaa ataitangaza nchi yetu kuliku safari zote za JK za kutembeza sahani!
ReplyDeleteAnanymous wa June 26, naona upo nyuma kidogo Gasol hayupo tena Memphis kwani alishaendaga LA Lakers
ReplyDeleteanon wa 10:55 pm,
ReplyDeleteGasol mkubwa ndiyo yuko Lakers. Mark Gasol mdogo mtu alipelekwa Memphis na Lakers akitokea Europe. ndoto ya Gasol brothers ni kucheza timu moja, hivyo labda siku moja Mark aturudi tena Lakers ambao ndiyo walikuwa na rights zake wakati akicheza Europe.
Mark Gasol na mzungu mwingine Darko wote ni 7ft centers na wako Memphis. Thabeet itabidi akaze msuli kwelikweli ili aweze kuwanyang'anya namba.
bela mnyalukolo Mahiga
ReplyDeletekamwene bee mwagito sa ukoo,wanoge wana na mama
alee makasi