mwandishi habari mwandamizi anayeishi washington DC mobhare matinyi akibadilishana mawazo na hasheem thabeet, mdau ambaye kesho anatarajiwa kuchaguliwa katika NBA Draft 2009 na kujipatia timu ya kucheza mpira wa kikapu wa kulipwa. Globu ya Jamii inamtakia kila la heri Hasheem katika hatua hiyo ambayo ni ya kihistoria

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2009

    Duuuuuuuuuuuuh, Huyu jamaa tall kweli kweli!! Utadhania mshikaji mwingine mbilikimooz!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2009

    alow michuzi naomba uwatundikie wabongo hii attachment NBA wanavyomfagilia hasheem kabla ya draft pamoja na Tanzania kwa ujumla
    http://www.nba.com/video/draft/

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2009

    Mungu akusaidie mdogo wangu nenda kakazane huko wala sifa na umashuhuri usikubadilishe.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2009

    Twajua Hasheem ndani ya NBA 4 Sho
    Ndani ya MEMPHIS TEAM
    Big Up Hasheem

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 26, 2009

    ha, ha, ni ulefu tu??

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 26, 2009

    duh jamaa ananikumbusha enzi zile za katuni ya ustake ncheke!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...