HABARI ZIMETUFIKIA SASA HIVI KWAMBA MZEE KOLOS KAPINGA AMBAYE ALIPATA KUWA BOSI WA SHIRIKA LA UCHUMI NA KILIMO TANZANIA (SUKITA) HATUNAYE TENA.
TAARIFA ZINASEMA MZEE KAPINGA AMEAGA DUNIA ASUBUHI YA LEO HUKO NYUMBANI KWAKE KIMARA. HABARI ZAIDI TUTATOA KADRI ZITAVYOPATIKANA
RIP Mzee.msiba umetugusa wengi na tunakuombea mungu akulaze mahala pema peponi.Poleni Suji,elly,diana,Katibi,regina na carlos.Pole sana mama.
ReplyDeleterest in peace baba yetu mzee kapinga. you've touched so many lives and you will always be remembered for that. mama suji pole sana na msiba na mungu akupe amana na nguvu katika safari hii ya kumpeleka mzee katka nyumba yake ya milele. suji elly kangoka katibi, pilika na karlos wote pole sana na mungu awatie faraja na amani. Ni majonzikuondokewa na mzazi lakini pia mumshukuru mungu na mpate faraja kwa maisha aliyowapa baba yenu na mapenzi aliyokuwa nayo kwenu. poleni sana.
ReplyDeleteKuna Kapinga nilisoma nae Dar Tech College, pia alikua wanakaa mitaa ya Kimara, huyu na Baba yake?
ReplyDeleteCarlos and Alex,
ReplyDeleteI was deeply saddened to hear of your loss.
May the comfort of God help you during this difficult time
May your memories give you strength... Read More
My thoughts are with you and your family.
Ezekiel
kulikuwa na kapinga watatu wote walikuwa wanakaa kimara karibu karibu. walikuwa wengi pale kimara kama wakina munanka.
ReplyDeleteJAMANI, HUYU KAPINGA NI YULE MMILIKI WA JENGO LA GHOROFA NA BAA PALE KIMARA - STOP OVER? KAMA NI YEYE NAMJUA. POLENI SANA.
ReplyDeleteMay the Lord rest his soul in peace. We pray that the family is strengthened at this time of sorrow. Suji, Elly and Diana (Ex-St. constantines members) poleni sana, We are with u in prayer.
ReplyDeleteEx school mate at SCS