Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Mzee Anold kileo bada ya kufungua
mikutano wa National Microfinance Forum ulioandaliwa na benki ya CRDB kwenye ukumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha(AICC) leo. Katikati Mbunge
wa Mufindi Kaskazini, Mh. Joseph Mungai.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2009

    Tanzania bila ufisadi inawezekana?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2009

    nimepata jibu la suali langu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...