Wanamziki machachari wa Ngoma Africa wakiwa na Tour managerz wao. Kumbe ndio maana FFU hawana mchezo na wanakwenda kwa wakati, sio mwanamuziki kila kitu anakuwa yeye.
Mr.Buti Jiwe (shoto) na Christian Bakotessa aka Chris-B. Mcharaza solo machachari wa Afrika Ngoma a.k.a FFU


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2009

    hiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!kamanda Ras Makunja na miwani mpya ya zahabu!
    umependeza! ukirudi kariakoo lazima tukupore

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2009

    Naona kaka braza Ras yupo chini ulinzi mkali, harafu ulinzi wako wanakuaga wanoko,hatumwi mtoto hapo na barua oh! mpelekee Ras" ni ulinzi tu,oh pole sana kaka.Sasa vipi vidoleni naona umechaka na bling bling?

    ReplyDelete
  3. DUNDA GALDENJune 20, 2009

    Safi wazee wa vijembe lakini mbona hamwendi Bagamoyo?lau kusalimia ndugu jamaa na marafiki?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2009

    akili za kutawaliwa bwana! sasa unataka kutwambia kuwa mafanikio yao ni kwa kuwa wana tour manager wakizungu? kwani band zote zina tour managers lakini sio weupe, sasa unamaanisha kuwa ukitaka mafanikio na band yako basi tafuta tour manager mweupe au sio? akili za kutawaliwa hizo ndugu yangu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 21, 2009

    wawe na mamenejaz weupe au wesi! ukweli kuwa jamaa wanatisha,tena si wanamziki wa kuchezea kabisa !mziki wao mkubwa na wanapeperusha bendera kama hawana hakili nzuri

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2009

    Tuache utani! ngoma afrika aka ffu,
    kazi wanaiweza na wanakubalika kimataifa,kwani kama utawafuatilia sana utaona kuwa moto wao sio wa kitoto kidongo.
    Mdau wa Uswid

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 21, 2009

    wazee wa vijembe kazeni buti,cheche zenu ni kali tena tunazikubali,harafu kaka brother Ras umependeza na miwani yako mipya,vipi? umepewa zawadi!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 21, 2009

    eh! ffu ! mie nawazimia pale mnapoanza kupiga gweride lenu jukwaani! gwaride lenu aliachi mtu,
    kingine mnaponichana mbavu pale ras makunja anaporusha madongo yake
    bila uruma!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 21, 2009

    ras makunja,kajama ketu kabishi,tena kina visa!anaponifurahisha yale maneno yake ya kucheza na lugha kabla ya show,unajua huyu alitakiwa labda awe mwanasiasa sio mwanamziki!
    Sema tu kufanya nae kazi lazima uwe na kichwa cha kijeshi jeshi.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 23, 2009

    bro,kaka ras makunja suti na miwani umependeza,sema tu kama mtu akikusachi mifukoni lazima utakuwa na madongo na manati,madongo lazima yawe tayari tayari au vipi?yule atakae kuanza basi unarusha tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...