

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mtoto wa kisukuma huyu Nkwabi kaenda hewani si mchezo, amenikumbusha enzi za happiness magese.infwact she is beautiful kwa kweli!
ReplyDeleteKunyimaye akwambii usichuke, hebu angalia chupa za maji mizinga sijui ya nini hapo juu ilivyowekwa mbele ya majaji ila glass ndiyo wamenyimwa,yaani hawakuwekewa maana yake ni kwamba hizi si zenu ni sehemu ya mapambo meza kama yalivyo maua vile LOL! hata Voda?, kweli bongo tambarale
ReplyDeleteChid benz LA FAMILLY.
ReplyDeletetatizo la tanzania ni moja. yaani kikiibuka kit fulani,basi inakuwa taabu yani kila ukipinduka kona moja ya mtaa,mtaa unaofuata unakikuta kitu kama hichohicho. MASHINDANO YA MAMISS IMEKUWA KARAHa.
ReplyDeleteYaani kila ukikata mtaa mmoja unaofuatia kunashindano la miss, du!sijui ndo ushamba au ulimbukeni au ndo ujanja. nimetembea nchi nyingi lakini tanzania that is too much guys!
akianzisha mtu biashara fulani basi kila mtu anataka afanye hiyohiyo,iwe kuchoma chips,glocery,mamantilie,hair cutting salon,secretarial beareu etc, vipi jamani wadau wa bongo mnalionaje hili. naskia kuna kampuni zinauza used cars&vehicles pia kila mwenye vijisenti anataka naye aweke barabarani kimkoko chake matokeo ndo badala ya kuwahi kazini,unafika umechelewa nusu saa nzima. haya wajomba na mashangazi kanyaga twende nafasi ndo hii. mi yangu majicho tu!teh teh teh
Huyu jamaa hapo juu kapotea kwelikweli, yaelekea hajarudi huku bongo tangu alipoondoka mwaka 47!!! Mambo yamebadilika kaka, huwezi kuwamiss tanzania bila kwanza kupitia kitongoji, mkoa, kanda mpaka taifa. Huyo nkwabi ni mwakilishi wa jimbo la ukonga na mbunge wake ni Makongoro mahanga , naibu waziri wa ujenzi. Mrembo huyo na wanzake watawakilisha ukonga kwenye mashindano ya kanda ya ilala yatakayo fanyika Julai kwenye ukumbi wa karimjee.
ReplyDeleteasante sana kaka anony wa trh7/june saa1:02 kwa kunitonya hizo nyeti. nikweli kaka sijarudi bongo aka kibao,bado nafanza mambo huku ughaibuni ila ntarudi midamida hivi.ila bongo naimiss sana machejo yake,hasa wadada wakibongo mambo yao si mchezo ndo maana hata huku haoi mtu hadi nije kujitwalia toto la bongo land. ila kwanza narekebisha mambo ili toto lisije hangaika. du huyo makongoro mahanga pindi niliondoka huko alikuwa bado kinyoka tu,saahizi kawa mbunge na unaibu waziri kapa?si mchezo!mie siompenzi wa siasa ndo maana mambo hayo hunipita kushoto.ila tumshukuru misupu anatulikishia nyepesinyepesi hapa kwa blog kimtindo.
ReplyDelete