HABARI ZINASEMA KUMETOKEA AJALI MBAYA SANA YA BARABARANI NA WATU TAKRIBAN 20 WAMEPOTEZA MASIHA BAADA YA BASI LA ABIRIA LA MOHAMED TRANS LILIPONGANA NA GARI LA MIZIGO ENEO LA KOROGWE USIKU HUU.
GLOBU YA JAMII INAFUATILIA NA ITALETA HABARI KAMILI PINDI ZIKIINGIA
Tunaomba majina ya wahanga wa ajali iliyotokea Korogwe.Ni wakati Muafaka sasa kwa serikali kuweka sheria kali kwa vyombo vya usafiri wa Abiria,Kwani ajali za Barabarani imekuwa tatizo sugu.
ReplyDeleteJamani serikali yetu inabidi iwe makini na hizi ajali zinazotokea mana watu wanakwisha....ila serikali inashangaza sana ajali ya mwakyembe iliundiwa tume sasa na hii sijui wataiundia tume au ndo kilio cha samaki machozi yanakwenda na maji???
ReplyDelete