ile kiplefti yetu mpya ya mtaa wa azikiwe avenue inaendelea kuachama toka siku ilipoanza kuandaliwa takriban siku tano zilizopita. endelea kusikiliza na kuandgalia maendeleo yake kila siku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. swali la Nyongeza, Nani ataizindua? ile nyingine nasikia uliitwa kuifungua ukaifungua kimya kimya, ankoo weweee???

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2009

    Wanaweka mkongo wa Fibre!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2009

    hii 'kipulefiti' inakupa picha ya ndani kabisa ya bongo zetu wabongo tunavyofanya mambo yetu!!! jamani hata kuzungushia kamba ya katani ili kuwashtua watoto wadogo wasipite katikati ya eneo hilo tunashindwa? si hii kitu wanachoita common sense????

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2009

    Anko nanihii kufa nao hao kila siku mpaka wawajibike!

    ReplyDelete
  5. Kwa muonekano wa hii picha ilitakiwa iwe "kipu raiti".

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...