Afisa masoko wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, Daniel Kijo akiwaeleza washiriki wa Bongo Star search (BSS)jinsi ya kupata huduma mbalimbali katika banda la Vodakijiji.
Mmoja wa washiriki hao wa Bongo Star Search akishangilia baada ya kupata pointi kwenye bowling katika VodaKijiji leo

Baadhi ya washiriki wa Bongo Star search (BSS)wakicheza mchezo wa Bowling katika Banda la Vodacom lililopo sabasaba katika viwanja vya Mwalimu Nyerere mara baada ya kutembelea rasmi banda la Vodakijiji leo.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...