siku moja kabla ya bustani ya forodhani gaden huko zenj haijafunguliwa rasmi baada ya kufanyiwa ukarabati wa nguvu, hatimaye mabati yaliyozungushiwa yamedondoshwa leo kama ambavyo mdau peter bennet wa sauti za busara alivyotuonesha katika taswira hizi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2009

    ukiwa forodhani ndio unafeel hasa kama uko zanzibar, i really miss my home. ni vyema tukapatunza mahali hapa kwa vile ni miongoni mwa sehemu chache na muhimu za starehe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2009

    http://www.youtube.com/watch?v=I5ALIL7T764&feature=related

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2009

    I didnt know Forodhani ilikua imefungwa,Chakula cha usiku kilikua kinaliwa wapi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2009

    simply beautifull!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 30, 2009

    Forodhani pamependeza sana kwa sasa, saa kumi inakabidhiwa rasmi Serikali, Kazi sasa ni kwa Manispaa kuitunza bustani kwama wataweza

    mdau kutoka zenj

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 30, 2009

    Kwa mdau hapo juu aliyeuliza watu alikuwa wanakula wapi. Forodhani ilihamia pale mbele ya Africa House, ni sehemu nzuri sana tu, nice view ila ni padogo sio kama Forodhani yenyewe. Ila Forodhani has the best view, the harbour view, Bet-el-jaib, Ngome Kongwe, Sultan's palace and ofcourse the sunset.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 30, 2009

    I miss zenji but I'll be back soon Foro is the best place to relax and enjoy the best food the island can offer.you are always welcome to zanzibar the spice island!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...