Home
Unlabelled
dar yazidi kupendeza....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Je Michu,
ReplyDeleteHapa ndio karibu na posta mpya (pale ilikuwa jengo la sinema?)
Asante kwa kutupa taswira (ni sahihi) nzuri ya nyumbani. Tunakushuru kwa jitihada za kutufunua macho yetu kila siku!
Tuonyeshe na Keko,Temeke,Mwananyamala,Tegeta nk kunavyozidi kupendeza sio center city.
ReplyDeletenyie mnaotaka kuangalia temeke, mw'nyamala, keko nk mbona mna gubu kama mke mwenza? ulizeni cousins wenu maana i'm sure hamku-immigrate the whole clan kwenda huko ughaibuni kwa hiyo bado ndugu zenu ambao bado wapo bongo watawasaidia. Let michuzi do hiz michuzi businesssss!! big up michu.
ReplyDeleteThey should put some of those vingwangua anga nje ya mji kupunguza foleni, even though kuna foleni kiasi hicho lakini bado wanang'ang'ania tu katikati ya mji, yaani i can not believe it, mji unatakiwa upanuke, enough is enough hapo centre!! it so anyoying the way they operate!! they should wake up and see how first world operate.
ReplyDelete