Home
Unlabelled
dogo wa uswazi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
me naona bora kama natokea ulaya au america bora nishukie zangu dubai nije kwa miguu au nipande baiskeli kuja dar na mizigo yangu kuliko kwenda na ndege Bongo
ReplyDeleteMh wabeba box maskini wana shida hawa, kama huyo hapo juu sijui katoka kwenye madabo shift dizaini atakuwa anaongea peke yake hata bararani mweee pole. Nilitegemea comment ya katuni kukuta mbeba box na stress zake hadi nimechoka
ReplyDeleteHUYU AMEINGIA CHOO CHA KIKE.
ReplyDeleteHAPO NINAVYOWAJUA WATOTO WA MWEMA KWANZA ATAKULA KATA FUNUA YA NGUVU, HALAFU ANATULIZWA NA BUTI LA USO.
BAADA YA HAPO NI MAKOFI YA KUTOSHA KISHA ANAPELEKWA SELO KWA KICHURA CHURA AU BONGE LA "TANGANYIKA JEKI"
BASI HAPO AAH,USINGIZI MWANANA.ASUBUHI WANAWACHOA NDUGU ZAKE KIINGILIO CHA KUTOKEA.
TUONE KAMA KESHO ATAKOSEA NJIA.
Huwa sipendi vikatuni lakini hii leo imeniacha hoi jamaa kakosea njia kaingia kituoni anafikir bar so kimetokea nini baadae siri yake
ReplyDelete