LUKE MUSIC FACTORY
PRESENTS
BACK TO THE 80'S
THIS SATURDAY JULY 11 2009
AT BOOMERANG CLUB,
COLUMBUS,OHIO
5763 KARL RD,
COLUMBUS,
OHIO.
YOU CALL OLDSKOOL,WE CALL GOOD MUSIC,COME JAM TO THE BEST OF LIVING IN THE BOX, NGOMA YA KWETU, AZALAKI SE AWA BY GHATO BEEVANS, I NEED THE ANSWER BY JOELLA AND MANY MORE...... OLDSKOOL MIX MASTER DJ LUKE FROM WASHINGTON DC
BN: Michael Jackson had 'almost no veins left
ReplyDeleteHabari zimetoka za awali kuwa veins zake zilikua zimekufa zote....Watu wanakua addicted na drugs ndio wanakufa hizi vein
ngozi yake ilikua nyeupe kama karatasi...bado wanachunguza kwanini ...who knows side effect za too much bleached out
na pia alikua bold....hawaelewi kwa nini alikua amenyonyoka nyele hivyo kama mtu aliyekua kwenye chemo vile
MIX MASTER HEBU KAWARUSHE VIJANA WA ZAMANI HUKO COLUMBUS.WATIE RAHA NDANI YA ROHO.
ReplyDeleteWEWE MCHAWI ULIYETOA HABARI ZA MICHAEL JACKSON HAPO MWANZO KABISA MPIGIE SIMU MAMA YAKO KIJIJINI KWENU UMPE HIZO TAARIFA.TULIYOBAKI WOTE TUNAZIFAHAMU,USITUWANGIE NDANI YA GLOB YETU YA JAMII.
Azalaki se awaaaaaaaaaaaaaa .........se awaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteWakulu mbona nashindwa kuupata huu wimbo wa I need the answer by Joella kwembe youtube au una jina lingine? .Halafu kuna old nyingine sikumbuki jina lake , nakumbuka baadhi ya maneno-ihave got problem , you get solve it.....just like chocolate melt allover ice cream, i will pour myself all over you, Bongo walikuwa wanasema umeimbwa na Ray Parker jr. Wakubwa msaada kwenye tuta, maana jamvini hapa hapahalibiki kitu.
ReplyDeleteMdau M'bwanga, montgomery county.
Yaani mdau #1 umeniua kweeli.yaani umeamua kukaa mbele ya TV na kubroadcast kwenye Blog...tehehe.kweli YOU ARE THE OFF IN OFF TOPIC.
ReplyDeleteWewe Dj Luke usituandikie nyimbo ambazo haziko huo mwimbo unaitwa I need an answer na sio I need the answer narekebisha tu wadau. Na wewe mdau wa 02.04pm hiyo nyimbo unayoiulizia inaitwa Lovin' You by Ray Parker Jr. Thanx Mzee wa Old Skool
ReplyDelete