jiji la mwanza lilivyo leo. chini ni fulanazzzz toka jiji hilo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2009

    Ah, michuzi umenikumbusha mbaaaali sana.Myaka kumi na nane nikiwa nimetoka hapo Mwanza,,,jamani ,utafikili Amsterdam

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2009

    YAANI UTAFIKIRI SAN FRANSISCO LI-MWANZA LILIVYOTULIA WAJEMENI...MANDHARI YENYE AKILI ZAKE TIMAMU!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2009

    NDIYO JIJI LA PILI HONGERA PEOPLE OUR SUKUMALAND PEOPLE TOOK US FOR GURANTEED THAT WE ARE PRIMITIVE KWELI BINADAMU HANA FILE NAO WHAT YOUR ARE GOING BACK TO THE ROOTS.I LOVE MY CITY WHAT'S UP MY SUKUMA PEOPLE I LOVE YOU DEARLY WELCOME PEOPLE FROM DAR-ES-SALAAM AND ARUSHA KWA RAHA ZANGU NINAJIRUSHA IKOS HOTEL AND MWANZA HOTEL INCLUDING GOLD

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2009

    Sasa Michuzi mbona mmetuwekea Taswira ya KIRUMBA na KITANGIRI???!!! huku ni kuliabisha rock city bwana, hebu tuwekee taswira za CITY CENTRE bila kusahau vionjo vya kapri point. lakini muhimu wawekee wadau picha za MWANZA KATI yaani naamanisha city centre. hii picha hapa unatuonyesha USWAZI/USWAHILINI kirumba, kitangiri, ghana, azimio na maeneo kama hayo inakuwa howcome mtaalam!!
    ni hayo tu!!
    Mwenyeji wa MUUAAANZA a.k.a Rock City nawakilisha

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 28, 2009

    We Michuzi bwana usitake kuniliza maana naangalia picha ya mza nakumbuka maisha yangu yoote duh mwanza ohh mwanza, mwanza ntarudi tenaa

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 28, 2009

    mwanza pazuri sana karibuni mwanza mje mwenywe maziwa mle na sato pamoja na nembe

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 28, 2009

    Duh! Ancle Michu we mchokozi kweli! Napakumbuka sana Mwaloni hapo kwenye soko la Wachina lileeeee! tena kama kamera yako ingeinuka kidogo juu ningepaona pale nlipomalizia shule yangu ya upili(Bwiru Boys Tech.Sec.School)nyuma ya icho kijimlima cha Kitangiri na iyo picha sijui uliichukua ukiwa Bugando? anyway am not sure kwa hilo! Well-done Ancle Michu!
    By mdau Mbeki 4rm St Joseph College of Engineering & Technology (Brigita Campus)-DSM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...