JK akiwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia profesa Peter Msolla (mbele kulia) na katika picha ya pamoja na wakuu wa Seacom Tanzania baada ya kuzindua rasmi Mkongo wa mawasiliano (marine fibre optic cable) kwenye stesheni ya Seacom maeneo ya Siversands jijini Dar muda huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

 1. AnonymousJuly 23, 2009

  Hebu waekee wabongo pia waone hii. Msije mkaweka hela kwenye vibank uchwa huko vijijini


  http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8164842.stm


  Sad sad sad

  ReplyDelete
 2. AnonymousJuly 23, 2009

  Asanteni sana kwa huo mkonga. Sasa kutandaza fibre-optic cables kwenye miji mbalimbali tunaanza lini? Manake kuwa na inter-country connection wakati within the country hatuna connection nzuri bado gharama zitakuwa juu na kwa maoni yangu tutakuwa tuna-under utilise capacity ya hiyo under sea cable. For the moment, well done! For the future, we have to work had!
  Mdau,
  Gothenburg,
  Sweden

  ReplyDelete
 3. AnonymousJuly 23, 2009

  Inawezekana huyu ndugu mfupi wa kushoto anaitwa Ngonyani? nilisoma na mtu ambae amefanana sana nae.
  Vile Vile tulifanya kazi pamoja Chuo cha Kilimo Morogoro

  ReplyDelete
 4. AnonymousJuly 23, 2009

  weka japo karamani ka cable netwok!
  http://www.francetelecom.com/en_EN/finance/news/cp090609en.jsp

  http://manypossibilities.net/african-undersea-cables/

  ReplyDelete
 5. AnonymousJuly 23, 2009

  Mdau uliyetupa link ya bbc news asante sana, sasa swali ni moja tu, serekali ya uganda ilikuwa wapi, watu hawa kufanya shughuli zao kwa miezi miwili bila kugundulika kama ni matapeli!?? inasikitisha sana wameibia wananchi masikini kabisa wa vijijini, Mungu atawalipa mali zao inshaallah.

  ReplyDelete
 6. AnonymousJuly 24, 2009

  vipi mbona wadau wetu akina web designer eng,networking eng,na yule mdau wa Phd pale geneva,na wadau wengineo porthmouth UK na pale yule dada wa pale Germany.amtoi coment zenu.
  Mdau-Viena

  ReplyDelete
 7. AnonymousJuly 24, 2009

  we! mdau. Huyo ni Sir. G. Kahama sio huyo uliyesoma nae..

  ReplyDelete
 8. AnonymousJuly 24, 2009

  Sasa angalau Tanzania itasogea, maana tulikuwa nyuma mno, Ila naomba serikali ihamasishe wadau kuchangamkia fursa za mradi huu. Nawasilisha

  ReplyDelete
 9. AnonymousJuly 24, 2009

  hotuba yenyewe tu JK asoma kwa kiinglishi mdau 10:07am nani sasa aelewe?

  chonde umeme na miundombinu ya bongo

  ..Sir?????...wee annon fafanua

  aibu tupu

  ReplyDelete
 10. Sorry Guys My swahili is not all that good. and my comment is a bit too late. My point is this when SEACOM finally brought the fibre optic connectivity to Tanzania, every one got exited, especially those who live abroad, who wants to do business in East Africa and the rest of Africa. SEACOM promised high speed broadband connectivity, I was when I spoke to one of the guys who is running an internet cafe in Dar es salaam, I was told that the average internet user or a home user is still limited to 512kbs now that is what I call dark ages what can you do with 512kbs. The minimum should be 2MB.

  The question is when will a home user get to this level?

  ReplyDelete
 11. ...normally we Tanzanian are expecting the cost of browsing to be cheap to all especially to students who can access internet at home with their PIII desktops and above all the speed should be ok, Hapa kwa kweli wahindi na mobile phone coy's watavuna sana bila kusahau wahindi then mswaada utajadiliwa bungeni 2015.

  ReplyDelete
 12. thanx 4 the great informations, be blessed !

  ReplyDelete
 13. Tunakushukuru prezz da wetu ila na kilichobaki umeme mkuu fanyachonde

  ReplyDelete
 14. Mkongo utaleta maendeleo iwapo utatumiwa kwa ajili hiyo, lakini kama watu ndio watalala kwenye pc kwa ajili ya FACEbook na picha z angono basi wagonjwa watazidi kufa maana madaktari watakesha online ni vilonga wima vyao
  Mdau

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...