Home
Unlabelled
JK na Mama Salma Kikwete katika mkutano wa Global 2009 smart Partnership Think Tank Dialogue
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du naona kitenge chako kizuri mama SJK! Na wewe mwenzangu pia malkia MMus. naona kitambaa chako kemependeza! Wewe unafikiri wakina mama wanaambiana nini zaidi ya wewe na wewe na wewe? Au unafikiri wanaambiana tubadilishe katiba, tuongeze muda kama nyie kwani kuna utamu na biashara fulani kule W.house?
ReplyDeleteMimi sio stereotype...lakini natoa hoja tu!
Kwa mara yangu ya kwanza leo nitamsifu mpambaji wa vazi la Rais kama yupo, na kama hakuna basi nitamsifu aliyempa ushauri wa hicho kivasi ,kama sio mwenye kwani nguo zimemechi rangi zake pia zimemkubali na mwili wake kwa maana nyingine zimemtowa kama wanavyosema wabunifu wa mitindo ya nguo wa ulimwengu wa kwanza, nguo nilazima ioneshe apiyarensi yako.nice ona hongera
ReplyDeleteMi nashauri wa-organize fashion show ya maraisi wa Africa, nathani Jk na mfalme wa Lesotho pamoja na Swaziland watashinda, soo ni pale Museveni atapotembea stejini maana ana kitambi kikubwa au Mwai Emilio Kibaki za mchuchumia au Mzee Bob za robitic!
ReplyDeleteAlivokuwa ticha pale skul kwetu enzi izo mzee ajatimba pale kivukoni alikua bomba ile ile,nashangaa ucku izi!
ReplyDeleteMama kama vp uzulia gym punguza unene,ili uendelee kushika TZ-One.
By mdau Mbeki!
Unajua mimi nilikuwa sijui wamevaa nini mpaka niliposoma hizi comments. Mnajua sana kuchunguza umevaa nini,umekula nini, mmmh,lakini kuuliza nini walichojadili na kina manufaa ganii kwa nchi mmmh, eti twaogopa. Sie tumezoea kuwasifu viongozi tu `zidumu fikira..,
ReplyDelete`hekoo chama chetu, sisiemu chama chetu..Tuendeleze juhudi chama zilizofanywa na wazazi wetu, hongera heko chama kwa..ungozi thabiti heko chama...
Namuunga mkono anon wa Tarehe Tue Jul 28, 02:11:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous: Ukiangalia sana mikono ya mama wa kwanza wa Uganda, hapa namwita MMus (mama Museveni), utaona anamwambia mwenzake nguo zimependeza, unakula nini mwenzangu siku hizi nk. Na pia anamwambia ona mwenzako mimi huku ikulu nimekaa miaka nenda miaka rudi kwa sababu mzee kabobea na alitaka kubadilisha katiba awe raisi wa milele. Pia alitaka kuona muungano wa nji za afrika mashariki unafanyika haraka ili mimi niwe the very first "first lady" wa nchi tatu (au tano?). Pia MMus anasikika akimwambia mwenzake, kwani wewe huwezi kumshawishi mwenzio mkabadili katiba mkaendelea kuongoza nchi...Si unaona ulivyopendeza na kitenge chako? Na SKJ, anajibu mwenzangu nchi yetu siku hizi sio ya zamani, watu wetu wote wameamka. Lakini na wewe mwenzangu MMus kitambaa chako chekundu kimekupendeza.
ReplyDeleteNaomba kutoa hoja
Matsebhula anafanana na raisi J.K., kama ndadake vile.
ReplyDeleteMalkia wa Lesotho anamwambia mama Salma"Mreuu kwa kichagga a.k.a shosti mbona umependeza hivyo?"mama Salma anajibu"hamna lolote shosti si unajua tena...mwanamke kujipenda,hebu na wewe changamka kabla baba hajaleta kabinti kengine."
ReplyDeletemy waifu wa mseveni no mvuto kabisa ka dume
ReplyDeleteJamani kwa watu wanaomfahamu vizuri mama salma kikwete nafikiri watakubaliana nami kwamba siku hizi mama anapungua kidogo, mwaka mmoja nyuma alikuwa mnene mno, hongera mama, na wewe anon unayesema mama museveni hana mvuto labda humjui vizuri, huyo mama ni mzuri sana, embu tembelea http://www.statehouse.go.ug/ halafu angalia photo gallery then utajua unachokisema
ReplyDeleteJanet anamwambia Salma kwamba ingawa yeye ni m-Islamu asisahau wosia wa Mama Laura Bush, waliopewa wakiwa wageni wa Laura kwa nyakati tofauti, kuhusu ya dini ya kilokole kudhibiti ukimwi!
ReplyDeleteduh babkubwa mh kikwete umependeza sana,c unacheck alivyotoka kijanja hilo tenge mm mwenyewe nimelizimia.nadhani mheshimiwa uvae hivyo popote utakapokwenda kua ni kama utambulisho wako tenge havi
ReplyDelete