kamanda wa mkoa maalumu wa kipolisi wa dar afande suleiman kova akiongelea zoezi la uopoaji na uhifadhi wa marehemu waliokufa katika ajali ya ndege ya yemen huko comoro
Home
Unlabelled
kamanda kova aongelea zoezi la uopoaji maiti za waliokufa katika ajali ya ndege ya yemen comoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kova pata data kamili, mtoto ana miaka 13 na siyo 11. We mtu mzima bwana!!!!
ReplyDeleteno hurry in Africa jamani!!!!
ReplyDelete...ni harakati za kitaifa au kimatifa kamanda Kova?
ReplyDeletewale maiti, na wala siyo "zile maiti" kamanda wa polisi wa mkoa/taifa unatakiwa uzungumze kiswahili fasaha kinachoeleweka.
ReplyDeleteKazi kweli kweli, duh!. Mambo haya ya communication yanataka training, si kila mtu anaweza kufikisha ujumbe ifuatavyo. Hivi kile cheo cha msemaji wa jeshi kilifutwa?
ReplyDeleteInasikitisha anavongea kwa kwa ukakamavu hata hataki kuonesha majonzi kidogo!yeye msiniulize kawaulizeni huko kweli safari ni ndefu.
ReplyDelete