Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wale wanaofaidi matunda ya ufisadi wanajitahidi na wataendelea kujitahidi kupotosha maana ya waraka uliotolewa kanisa lakini ukweli unabaki pale pale. Kama wewe sio fisadi hakuna haja ya marumbano kwa kuwa waraka huo hautakudhuru.
ReplyDeleteNi heri kabisa kuwa na huo Waraka wa kila kabila kuhusu mapambano na Mafisadi. Naona hapo ndipo jamii itakuwa kweli imefunguka macho kwa kuuchukia Ufisadi. Nadhani Waraka uliotolewa na Kanisa Katoliki haugusi Dini bali unagusa Uzembe na Ufisadi
ReplyDeleteNasikia na baadhi ya waislam nao wanaandika waraka wao, safi sana na hatimae mbivu na mbichi vitajulikana na zile ndoa za sirisiri zitajulikana pia,mme akiwa na wake wawili ukitaka kujua kama kwa mke mkubwa au mdogo hutoa upendeleo subiri wagombane tu utajua maana lazima katika majibizano utasikia "huna fadhila mimi mangapi nakufanyia?? nimesomesha wanao, niwanunulia wazazi wako kihamba leo umenigeuka!!!" hapo ndo utakapojua mbivu na mbichi, yetu macho leo waraka kesha MOU sijui ya nini na nani!!!! kesho tena tume ya nini na na..........
ReplyDeleteALLAH NA ATUNUSURU NA JINMIZI LA MIGOGORO YA KIDINI NCHINI
Dunia ya utanga wazi kila mtu ana haki ya kujua ukweli!!
ReplyDeleteSio zama za kuelimishwa na Redio Tanzania (RTD)tu.
Ndio maana hata libeneke la Bro Michu lipo juu zaidi ya magazeti na mitandao la mafisadi....
Ukiona watu wana kataa mijadala (wazee wa zamani akina kingunge) Huko mbeleni utasikia wanatunga sheria kukataza BLOG....
yetu macho!
Uzuri tuna rais ambaye sio kama mazee ya zamani ila kijana wa DOT com!
ndio maana kaufagilia MKONGO!! wa sea Com
NINACHOSHINDWA KUFAHAMU NI KWA VIPI MTU ANAPODAI MASLAHI KWA MUJIBU WA IMANI YAKE AONEKANE MWOVU MBELE YA JAMAII.
ReplyDeleteNADHANI NI TANZANIA PEKE YAKE, AU LABDA NA BAADHI YA NCHI CHACHE SANA DUNIANI, AMBAKO UNAPOZUNGUMZIA MASLAHI KWA MUJIBU WA ITIKADI YAKO YA KIDINI UNAONEKANA MTU HATARI
NA HASA, TO BE HONEST, UNAPODAI MASLAHI KWA JINA LA UISLAMU!!!
HII SI FAIR KABISA WALA HAIINGII AKILINI.
SERIKALI YA TZ PAMOJA NA KUWA HAINA DINI, LAKINI INAHESHIMU NA KUHUDUMIA KILA ITIKADI. NA NI WAJIBU WAKE.
OTHERWISE KATIKA KALENDA TUSINGEKUWA NA MAPUMZIKO YA PASAKA, KRISMASI, EID NA MAULID.
OTHERWISE JUMUIA ZA MAKANISA NA MISIKITI ZISINGESAJILIWA NA KUTHAMINIWA.
OTHERWISE TUSINGEWATUMIA MAASKOFU NA MASHEIKH KUWAOMBEA MASHUJAA SIKU YA SHEREHE YA MASHUJAA, NK.
NI KWA VIPI MTU MWENYE AKILI ZAKE AKAZILINGANISHA DINI NA MAKABILA MIMI NASHINDWA KUFAHAMU. NI KUJITOA AKILI NA KUKUMBATIA UKASUKU.
KWANGU NI UPUUZI HATA TU KUFIKIRIA KUWA DINI NI SAWA NA UKABILA.
KWAMBA SIKU MOJA WATU WATAZUNGUMZIA NA KUPIGANIA UKABILA SERIKALINI.
NA WANAOSEMA HIVI LENGO LAO NI MOJA TU KWA FIKRA YANGU, AMBALO NI KUUVUNJA NGUVU ULE UPANDE UNAOLILIA MASLAHI YAKE SERIKALINI, TENA KATIKA NJIA ZA KISHERIA.
KWANGU HIYO NO HUSDA.
KIPANYA UNAJIAMBUKIZA UHASIDI KWA MCHORO WAKO HUU.
ACHA KUWA HASIDI.
WAISLAMU, PARTICULARLY, WANAPOENDA BUNGENI KAMA WABUNGU NA KUPELEKA VILIO VYAO SERIKALINI WANAFANYA HIVYO KWA MUJIBU WA KATIBA, NA WANAAMINI WANA SABABU KISHERIA.
NA HATA UNAPOKEJELI KWA KUTUMIA UKABILA, KWANI HAYO HAYAJAPATA KUTOKEA?
YAMEPATA KUTOKEA, NA KAMWE HAYAKUWA HARAMU.
NIKUKUMBUSHE KIDOGO:
LINDI WALIDAI MAISHA BORA KUTOKANA NA UBOVU WA HUDUMA NA NJIA, IKAFIKIA WAKATI WAFANYA KAZI WAKAWA WANAGOMA KUFANYA KAZI HUKO.
JE SERIKALI HAIKUSIKIA VILIO VYAO?
JE SINGIDA NAKO HALI HAIKUWA KAMA HIYO?
JE NA PEMBA NAKO, SERIKALI YA RAIS AMANI MARA NGAPI IMETANGAZA MIKAKATI YA KUBORESHA MAISHA YA WAPEMBA?
MBONA KIPANYA HATUKUKUONA UKIKEJEL?
AU HUJUI UNAFANYA NINI?
Mndengereko, Ukerewe
mndengereko wa ukerewe asante kwa pointi,wapuuzi kama kipanya waambiwe wajirekebishe ndio wenye kuleta chuki hawa zisizo na sababu.
ReplyDelete