Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
naona kama yale mawili ya kati kati yanakaribia kupasuka....yanaonekana yalitengenezwa kwa kutumia chemicals zinazoshabihiana
ReplyDeleteHilo la kati ni mabomu kweli, na tatizo kubwa kutokuweka mambo wazi, lamwanzo ni uongozi mbovu, kama kutawekwa viongozi wakali, hali hiyo sio tete kama tunavyofikiri,lakini haya madogo mawili, yanakuzwa na `propoganda' zaidi kuliko ukweli!
ReplyDeleteSidhani Tanzania ya leo kuna ukabila wa kinamna hiyo, kama upo ni wa undani-ndani sana ambao unasababishwa na umasikini, ujinga na maradhi ni hii yote ni kwasababu ya kusahaulika na kutengwa,ndio maana na wao wanajitenga `kikabila'wa kiwezeshwa haaa, Watanzania ni wapole sana.
Huu udini, mi sielewi vyema, hii inakujaje, maana neno hili hutumika sana kipindi hiki kinachokaribia uchaguzi. Watu wasiseme ukweli kwasababu wataleta udini, na ukiangalia kuna watu wanalengwa, na utakuta ni baadhi ya dini ambazo hazitakiwi kusema, zikisema zinaleta udini, lakini nyingine zikisema mmmmh, mapambia na sifa kedekede...sasa huu sio udini, ni ubaguzi
M3
KP
ReplyDeleteumesahau mapigano ya wakulima na wafugaji
patamu hapo
Kipanya, umesahau kuweka rundo la mabomu ya ufisadi ambayo yameanza kulipuka mfululizo kama yale ya mbagala.
ReplyDeleteKatika yote bomu la mauaji ya maangamizi ni la UDINI. Hilo lisipoteguliwa sasa linakuja kwa kasi sana. Sio siri kwamba sasa hivi CCM inaendeshwa KIUDINI. Ndio maana hawakuona hata aibu kuingiza swala la kadhi kwenye ilani ya uachaguzi, kupeleka suala la OIC bungeni na kuchagua na kuteua top brass yote ya UWT kutoka dini moja. Wanafahamu kabisa mambo ya kadhi na OIC ni kinyume cha fikra za mwasisi wa chama na baba wa taifa hili ambaye wanajifanya kumuenzi. Kutegua bomu la udini lazima tukubaliane kwamba mambo yanayohusu dini na taasisi zake hata zinazoficha itikadi zake kama OIC na kujifanya ni za maendeleo zisiingizwe kwenye sera na ilani za vyama na bungeni ndo zisiguse kabisa. Pia uwiano katika uongozi wa taasisi za kitaifa ni muhimu sana. UWT ya sasa ni mfano mbaya sana.
ReplyDelete