Leo tarehe 29.07.09, familia ya marehemu Mango inakumbuka siku Mwenyezi Mungu alipomtwaa mume/baba/babu yetu mpendwa Joseph Cosmas Mango.
Unakumbukubwa daima na mke wako Mama Fortunata Mango, watoto wako: Jardin, Dina, Diana, Dismas, Christant, Dativa na Fina Mango, wajukuu zako: Joseph, Paul, Joe na Daniela. Unakumbukwa pia na dada zako na kaka yako David Mango, mkwe wako Gabriel Magambo Ndobho, ukoo wa wote wa Mango, ukoo wote wa Bibi Tatu, marafiki pamoja na majirani zako wote.
Miongozo yako ndio nguzo imara yetu leo, daima tutakushukuru.
Tunakupenda Milele.
Huyo alikamilika ktk siku chache,
akatimiza miaka mingi.
Hek; 4: 13
PUMZIKA KWA AMANI
ReplyDeleteEng. Juma H. Msonge
Hivi huyu anauhusiano na Dr.Mechris Mango wa MOI?
ReplyDeletepole jamani wafiwa,jardin mzee wa maproco pole kaka...dada yako ymca moshi
ReplyDeleteDah, miaka inakwenda sana. Ila jamani mmemsahau one of his daughters, well, anyway
ReplyDeleteWE MISS U FINA MANGO ON DA PEOPLE'S STATION,, WHERE ARE U.???
ReplyDeleteFinest, now I see where the smile comes from! endelea kumpa baba sababu ya kutabasamu from above.
ReplyDeleteETI KILIO HICHO NI LEO AU CHA MUDA MREFU MAANA KAMA NI KUMBUKUMBU INGEKUWA VYEMA KUTAJA UMRI WA MAREHEMU TOKEA KUFARIKI KWAKE.
ReplyDeleteASANTENI
Ni kumbukumbu ya miaka 18 toka alipotwaliwa na bwana.
ReplyDeleteasante.