MAREHEMU JOSEPH COSMAS MANGO

Leo tarehe 29.07.09, familia ya marehemu Mango inakumbuka siku Mwenyezi Mungu alipomtwaa mume/baba/babu yetu mpendwa Joseph Cosmas Mango.
Unakumbukubwa daima na mke wako Mama Fortunata Mango, watoto wako: Jardin, Dina, Diana, Dismas, Christant, Dativa na Fina Mango, wajukuu zako: Joseph, Paul, Joe na Daniela. Unakumbukwa pia na dada zako na kaka yako David Mango, mkwe wako Gabriel Magambo Ndobho, ukoo wa wote wa Mango, ukoo wote wa Bibi Tatu, marafiki pamoja na majirani zako wote.

Miongozo yako ndio nguzo imara yetu leo, daima tutakushukuru.

Tunakupenda Milele.
Huyo alikamilika ktk siku chache,
akatimiza miaka mingi.
Hek; 4: 13

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2009

    PUMZIKA KWA AMANI

    Eng. Juma H. Msonge

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2009

    Hivi huyu anauhusiano na Dr.Mechris Mango wa MOI?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2009

    pole jamani wafiwa,jardin mzee wa maproco pole kaka...dada yako ymca moshi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2009

    Dah, miaka inakwenda sana. Ila jamani mmemsahau one of his daughters, well, anyway

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 29, 2009

    WE MISS U FINA MANGO ON DA PEOPLE'S STATION,, WHERE ARE U.???

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 29, 2009

    Finest, now I see where the smile comes from! endelea kumpa baba sababu ya kutabasamu from above.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 30, 2009

    ETI KILIO HICHO NI LEO AU CHA MUDA MREFU MAANA KAMA NI KUMBUKUMBU INGEKUWA VYEMA KUTAJA UMRI WA MAREHEMU TOKEA KUFARIKI KWAKE.

    ASANTENI

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 31, 2009

    Ni kumbukumbu ya miaka 18 toka alipotwaliwa na bwana.

    asante.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...