Baadhi ya watu watakuwa wamemsoma Mhandisi na Mwelimishaji ndugu Sabato E. Tarimo katika gazeti la MsemaKweli kwenye makala zake mbalimbali.


Sasa amejikita katika ulimwengu wa
blogu ili kuwafikia wengi zaidi hasa wale wanaoishi nje ya Tanzania.


Makala alizoandika hadi sasa na zinazotia changamoto ni zile zinazohusu
URITHI na MAVAZI ni kama vile:
URITHI: Mahakama ya kufungulia mirathi
URITHI: Urithi kwa watu wasio na undugu na marehemu...
URITHI: Kumnyima mtu haki ya urithiURITHI: Umuhimu wa wosia
URITHI: Je, urithi ni haki au ni fadhila?
URITHI: Biblia inasema nini kuhusu watoto wa kambo...
URITHI: Sheria za mirathi
URITHI: Kwanini mzaliwa wa kwanza alipendelewa?
URITHI: Ni wakati gani wa kurithisha au kurithi?
URITHI: Nani anastahili kurithi?
URITHI: Kiini cha makalaNi vitu gani sisi wanadamu tunavyoweza kurithishana...
URITHI: HAKI NA WAJIBU WAKO


Jina la Blogu ni:
tanzaniachristianheritage.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. KWA SPEED HII INAONEKANA UPARADISO WA TANZANIA UMEBAKIZA MIAKA 10. BAADA YA MUDA WA MIAKA MITANO MAMBO YATAKWENDA KWA MWENDO WA MWANGA. WADAU MABADILIKO NI VITU VIDOGO KWANI HUKO WALIKOMALIZA MATATIZO YAO WAMESHATUKABIZI MADESA ILIYOBAKI NI KUKATI NA KUPEST. MASHARTI NI MEPESI KUWA MTU WAKI MKWELI PASIPO SHAKA , JIEPUSHE NA HOFU ZA BAADAE FANYA KILA KITU KWA NIA NJEMA NA ROHO NYEUPE. UWE TAYARI KUKOSA ILI MWENZIO APATE. MTOAJI VIPAWA HUWA ANAWANYIMA WACHOYO NA ANAWAONGEZEA WASIO WACHOYO NA WABINAFSI.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2009

    Bina asante sana kwa blog yako. Unatuwakilisha vizuri

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2009

    KAMA KUNA MTU NINAMCHUKIA DUNIANI HUMU BASI NI ISSA MICHUZI. MICHUZI KAA UKIJUA KUWA MIMI NINAKUCHUKIA SANA.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2009

    Mjomba juu hapo, kama unamchukia issa michuzi tuambie na sisi basi sababu ya kumchukia kwako, kama ni ya maana achukiwe na wengi (lol) lakini kama huna sababu mzee utapata vidonda vya tumbo bure kwa hasira.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 05, 2009

    Watu bwana!!!! hivi wewe anonymous wa 05:49 unafikili kuchukia mtu kama michizi anaye fagiliwa na watu kibao,,huoni kwamba unajiumiza bule?kaka michuzi kapewa na mungu mwanadamu huwezi kuzuia,,wewe unamchukia halafu ufike wapi?? nakuomba usije ukamuua,,michuzi tunakuombea uzidi kungala na blog yako nzuli.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 05, 2009

    I second you anonymous @ 5:49 PM Mimi simchukii kwa vile kumchukia mtu ni dhambi ila tabia yake ya unafiki ni mbaya sana tu. Ananjidai blog ya jamii hii lakini mpe comments ambayo haina hata matusi wala nini...haiweki...lakini utakuta comments za watu asiowafagilia basi zina matusi the whole works anaziweka...JE HUU NI UNGWANA?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 06, 2009

    Duniani huwezi kupendwa na watu wote. Kwa hiyo watu watatu mkimchukia Michuu ni kawaa. 97% yetu tunampenda. We love you michuzi keep goin' babe.

    ReplyDelete
  8. Dear hater wa july05 05:49pm

    wewe ndugu kwanini unaendelea kuja hume kama humpendi barozi wetu?maana una mpenda basi kosa likitendeka unge lieleza tu badala ya kusema una mchukia,chuki si nzuri ,na huwezi sema unapenda kwa hili lakini humpendi kwa lile hata bibilia ina sema huwezi kuwa vuguvugu labda moto au baridi sasa chakuo ni lako, lakini kaa ukijua huyu kaka anapendwa na wengi hivyo dua la mwewe.....tembelea blogs nyingine kama unataka huja lazimisha .

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 06, 2009

    ANAPENDWA NA WENGI. AU UNADHANI WATU WALIONGIA KWENYE BLOG YAKE KUFIKIA MILLION SITA NDIO MAANA YAKE NI WATU TOFAUTI MILLION SITA?? AU UNADHANI KILA AINGIAYE KWENYE BLOG YAKE ANAMPENDA??
    MICHUZI NI MTU MBAYA SANA NA NYIE KAENI NA UJINGA WENU. USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA LAKINI HUYU BWANA NI MTU MBAYA SANA. halafu ni mnafiki mkubwa!
    NARUDIA TENA NINAMCHUKIA SANA MICHUZI NA SIKU NIKIKAA NA WEWE NAWEZA HATA KUKUZABA KOFI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...