



aliyeingizwa+kipindi+cha+pili+ili+kuokoa+jahazi+kwenye+mechi+ya+Tanzania+na+Ghana+katika+ligi+ya+kombe+la+waafrika+mjini+Athens+19062009.jpg)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu Kassa Mussa ndiye yule aliyewahi kuchezea Coastal Union au African Sports enzi zile au Kumbukumbu yangu sio nzuri?
ReplyDeletehongera sana watz ughaibuni kwa kutuwakilisha. japo nina hofu hii habari haitupi matokeo, au tulifungwa?! jamani ni mchezo tu kupata au kukosa ndo mambo yenyewe. japo nawapa BIG UP!!!.
ReplyDeleteMdau
ETM
Tunaomba wenzetu wa Greece tuwasiliane ili tuweze kuwa na ushirikiano wa kimichezo kama ilivyo sasa kwa watanzania waishio Stockholm Sweden na Helsinki Finland. Yaani tuwe tunatembeleana na tunacheza mechi za kirafiki. Mnaweza kuwasiliana nasi kwa e-mail rsaidr@hotmail.com
ReplyDeleteKiongozi wa Kilimanjaro Club ya Sweden.
Stadium limetuliwa sio kama jamaa zetu wa Finland wanacheza kwenye Mavumbi Stadium. Kweli Finland ni choka mbaya.
ReplyDeleteEbwana kuna mshkaji wangu nilisoma nae Jitegemee Roy West bado yupo huko Greece or?
ReplyDeleteKassa Musa nakuona kumbe bado uko fit?Unakumbuka enzi za primary pale Turiani shule ya msingi pale Magomeni..baadae Coatal union na kunyakua ubingwa wa Muungano..Nakutakia kila la kheri tuwasiliane
ReplyDeleteMdau-Sydney
ee bwana watz Greece mna2wakilisha kiaina sio mbaya mkiwa mnakutana na kushindana na timu mbalimbali nimewakubali mimi ni left back ninahitaji mawasiliano na nyie huko e mail yangu jkleen88@yahoo.com mdau Tz
ReplyDeletewe kasa bado unacheza tu pumzika mkubwa..na huyo makapu toka lini tena????mnamwitaji mwanangu milala hapo.....kasa mwambie dad mtoto wa queen anampa hiy...kwa obama hapa.
ReplyDeleteMwalimu-Zacharia kinanda
ReplyDeleteDuncan Mwamba,Said Kolongo,Douglas Muhani,Hassani Juma,Elisha john,Ali Maumba-White Horse,Aggrey Chambo,Kassa Mussa,Juma Mgunda,Hussein Mwakuruzu Ruga,Razaki Yusuph -Kareka.
Hapo starehe tupu wapige na Pamba,Ushirika,African Sports ilikuwa Game ya Ndumba,wapige na Pilsner.Ndio hivyo tena muda.Jimmydoe