KUTOKANA NA SABABU ZISIZOWEZA KUZUILIKA TUNAPENDA KUTANGAZA TAREHE MPYA AMBAYO PADRI AMETUPANGIA KWA AJILI YA MISA YA KISWAHILI YA KUMSALIMIA MAMA MAREHEMU MWALIMU MARGARET KUMBUKA, BADALA YA MISA KUFANYIKA TAREHE 5TH JUMAPILI KAMA ILIVYOTANGAZWA KABLA.
SASA HIVI MISA ITAFANYIKA TAREHE 19TH JULY 2009 JUMAPILI SAA NANE MCHANA (2.00 pm) HADI SAA KUMI JIONI (4.00 pm) KATIKA KANISA LA
ST ANNE'S & ST AGNES CHURCH,
OPPOSITE # 2 GRESHAM ST,
EC2V 7BX
KWA WANAOTUMIA TRAIN ZA UNDERGROUND KITUO CHA KARIBU NI ST PAUL'S (CENTRAL LINE) ,
FOR INFO CONTACT
KHALID 07886897813,
ARAFA 07951503042,
RHODA 07852289892
AND
ACHU 07884420118
KWA NIABA YA KHALID, ARAFA NA MAHADIA KUMBUKA, TUNAPENDA KUTANGULIZA SHUKURANI ZA DHATI KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WOTE AMBAO TULIOSHIRIKIANA NAO TOKA MWANZO HADI MWISHO WA MSIBA WA MAREHEMU MAMA.
PIA TUNAWATAARIFU KUWA KUTAKUWA NA MISA MAALUM YA KISWAHILI YA KUMUOMBEA MAREHEMU MAMA MARGARET KUMBUKA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 5TH JULY 2009 LONDON UNITED KINGDOM KUANZIA SAA NANE MCHANA (2.00 PM) HADI SAA KUMI JIONI (4.00 PM) KATIKA KANISA LA
ST. AGNES/MARGARET CHURCH,
OPPOSITE #2 GRESHAM ST,
EC2V 7QP,LONDON
FOR MORE INFO
CONTACT
07886897813,
07951503042
0R
07852289892



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...