







Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DUH, NAONA SURA KAMA YA MZEE MARIJANI AU PENGINE NI MACHO YANGU.
ReplyDeleteEbana eeh Soksi bila viatu.Kidogo niseme walikuwa wanacheza kick boxing bila gloves.looool
ReplyDeleteShaaban Marijani
ReplyDeleteMarijani Rajab alikuwa ni mwanamuziki
Shaban Marijani ni wa sita toka kushoto
ReplyDeleteMwanzo mzuri, pengine maboresho ya makumbusho ya Taifa yanatakiwa kujengwa hata katika mikoa mbalimbali ambayo yataitwa hifadhi za mikoa.
ReplyDeleteKwa nchi zilizoendelea zinamakumbusho ya Taifa ambayo yamejegwa kwa ustadi mkubwa na kunakila kitu ambazho kimetokea katika nchi nzima. Pengine ni sehemu ya kuongeza pato kwa serkali. Maana watalii wanapotembelea wanajifunza mengi na kulipa kiingilio hata watanzania.
Bado kazi ni kubwa.
Eneo la makumbusho ya Taifa ni dogo na linapendeza kama litatengewa kiwanja kikubwa chenye ukubwa wa ekali hata hamsini ambalo linaweza kuwa na zoo za wanyama na kumbukizi zingine kem kem.
Aisee huyo wa4 kushoto sio gration matovu?
ReplyDeletemdau
kisiju pwani
hongera Ms Mapunda kwa kazi nzuri uliyo fanya sio kazi ndogo lakini tutafika, hapo kutakuwa na entrance fee?
ReplyDeleteWa tano toka kushoto ni Kassim Chona toka Mwanza. Ile list ya wachezaji wakongwe imechangawanywa sana. Nafikiri ingekuwa bora kuwaweka kwa vizazi. Juma Pondamali na kina Zimbwe si wa wakati mmoja na kuna wengine sikumbuki hata kuwasikia.
ReplyDeleteDuh! Anko Michu!
ReplyDeleteMi sina neno hapo,maana mwaka sabini ndo kwanza Bi mkubwa alikuwa form 3,alikuwa hata hajakutana na mzee.Ruksa kwa wadau endeleeni.By mdau Mbeki 4rm St.Joseph Coet-DSM
Namuona Manyoto Ndimbo
ReplyDeleteangalau sasa tuna makumbusho
ReplyDeleteila bado sana kwa mikoani jameni
tuweke historia tulizozimuliana toka enzi za mababu na sio elimu ya wakoloni:sitegemei kukuta apo eti ml.kilimanjaro ulivumbuliwa na mzungu gani au ziwa nyasa lol!!
nk nk
bwana michuzi asante sana sana kwa kutupa picha kama hizi za wachezaji wetu mabingwa wa soka enzi hizo. hawa ndio walikua mashujaa wetu wa soka enzi hizo. hapo juu ninamuona sharif wa tpc akipeana mkono na mwalim julius nyerere. tafadhali bwana michuzi ninaomba utuonyeshe picha nyingine za hao wachezaji wa gossage. kutufurahisha zaidi please tupe picha na majina yao.
ReplyDeleteKama tunazungumzia mpira basi ndio kipindi iki. watu walikuwa wanacheza mpira kwelikweli. kulikuwa hakuna kununuliwa kama sasa. kuna mchezaji mmoja aliniambia wakati wake katika miaka ya 1970 hongo kubwa ilikuwa ahadi ya shaba la nguvu(pilau) sana sana totoz kidogo, maana mambo hayo ndio yalikuwa adimu.
ReplyDeleteKama tungekuwa na rais anayependa michezo kama huyu tuliyenaye sasa, naamini kwenye miaka ya 1980 nchi yetu ingekuwa imechukua kombe ka afrika japo kwa mara mbili.wakati ule wakina Peter Tino, Kajole, Thuen Ally, mambo sasa, Jella mtagwa na wengineo walikuwa wanatisha sana.