Mwanamuziki mkongwe wa rhumba kutoka Kongo,Mbilia Bel leo kwa kushirikiana na mwanamuziki King Kikii usiku wa leo usiku watafanya onesho la pamoja ndani ya ukumbi wa Police Mess,Oysterbay jijini dar,ambapo kiingilio kimepangwa kuwa ni 10,000.kwa kila mtu.

Karibuni wote.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...