Salaam toka ZIFF. Tunaendelea vizuri na kila siku tuonaonesha documentary za Dakika 7 za Matukio yote ya ZIFF. Na nimepata bahati ya kupiga picha na ZIFF special guest Bwana Danny Glover. Kwa wale ambao ungependa waone daily documentaries waende kwenye link hii http://www.zgfilms.com/events.html
Ahsante!
Ibrahim Matukuta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...