Home
Unlabelled
mdau wa tokyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du! jamaa pamoja na kukaa huko japani, bado haijapoteza kabisa mng'ao wake wa asili, mtu iko nyeusi kinoma, kazi nzuri!
ReplyDeletehuyu Dada si Gladies(glady) aliyetoka US juzi au ndo duniani wawili wawili?
ReplyDeletehe eh eh anko naniii! muzee wa libeneke,ndio kusema huyo bibie ni mainaniino wake ?au mai shemeji yake,elezea kitu cha uhakika,tusije tukasikia yule mwenda na dog kichaa anakurusha mambo ya shemeji shemeji,wakati anko unauhakika na uhusiano wa mdau japan na dada naniino.sipo hapo ngoja kamanda aone hii kitu
ReplyDeletemmmmmmmmm! vipi? hapa unasema huyo ni shemeji yake?au mainanii wake? ngoja nimvutie waya kamanda ras,atupe jibu labda analo...
ReplyDeleteKamanda shemeji huyo ndani ya week end tayarisha mawe
MKUU WA NANIHII NA NANIHINO... PAJAZZ HIZO. DUH C MCHEZO..
ReplyDeletehuyu shemeji ana nguuu si nchezo karibu nturwa kama vp ni posti mahali
ReplyDeletemkuu wa nanihii mbona maeneo fulani yako karibu na kifua chako kuliko mwenye mai wife wake?????????maana umejiachia kinoma,nadhani ungeomba net kabisa ili ulale!!!!
ReplyDeleteha!ha!ha!ha!najua hii utaibana,tuku kumi tunatuma hili dongo.
uliambiwa acha kukumbatia wenye nanihii na hujaacha
ReplyDeletehallo hallo mzeee wa totos si mchezo naona safari hii umeamua kuchukua paja paja huyo hana cha shemeji huyo ukimkalia vibaya analamba tu tunamuelea vizuri huyo kisketi kisimpitie tu
ReplyDeleteHuyo ni mke wake Michuzi. Naona anaonge kwa kuzunguka. Amesema Mai shemegi yake hii inamaanisha uyo ni mek wake na ni shemeji yake huyo mdau wa Tokyo, Japan
ReplyDeleteSijaelewa unaposema ana kampuni kubwa wakati ukiangalia website yake utajua tu kinachoendelea, ina maana gani kusema kampuni kubwa? kwa upeo wangu mdogo kampuni kubwa kwanza lazima iwe na stock nyingi tu ili watu waweze kuangalia na kuchagua. Kwenye hii sijaona unless mseme labda mimi ndo sielewi. http://members.jcom.home.ne.jp/wilna/
ReplyDeletebalozi huwa HAKOMI kabisaaa.jaman unafauduuuu!!
ReplyDeleteivi why dadazz uwa wanageukia/wanakulalia wewe balozi tu????
yan unapenda konozzz hahahahaaa teh afu leo umepiga shati tengezzz
dada mashallah uko chini
aya