wacheza kandanda nadir haroub 'canavaro' (kulia) na nizar khalfani (tatu shoto) wamekuwa gumzo huko Canada walikoenda kujaribu bahati yao na White Caps ya huko. Habari zao bofya kwenye hii linki hapo chini. wengine ni wadau na promota wao zamunda kangezi (tatu kulia)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2009

    Duu! "Cannavaro" kumbe alilipishwa ile jezi aliyobadilishana na Eto'o! Noma kweli.

    ReplyDelete
  2. Mwandishi kaua sana, ebu cheki hii: "We are very happy, our first time playing professional," Haroub said in his limited English. "I get the opportunity, I work hard here. We are very hard working."
    Kwani hajui kuwa kiinglishi sio maza tang yetu, alaa!
    Kila la kheri Nadir na Nizar, Inshaallah mtafanikiwa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2009

    English ya Canavarro ni kama ya kocha wake MAXIMO AMBAYE ANA LIMITED ENGLISHI.
    MDAU kisiju.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2009

    Kama nakumbuka hata Fabio Capello alishawahi kuandikwa "replied in his limited english", sidhani kama mwandishi kaua., na kama ni mwandishi aliyeenda shule lazima amuheshimu kwa kujua lugha 2, National language (kiswahili) na English (hata kama limited). Inawezekana yeye mwenyewe anaongea lugha 1 tu......

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2009

    ninawapenda sana vijana kusema kweli

    keep the good work,one day yu'l reach up there

    wengine wala vumbi wengi wabeba box wengine professionals wengine ndo nyie

    life goes on!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...