leo anko nanihii kabahatika kugongana na mdau wa tokyo, Wilna Muzee wa Magari (kulia), ambaye ni mmiliki wa kampuni kubwa ya uuzaji magari huko Tokyo, Japan. yupo bongo kwenye kijivekesheni kifupi. kati ni mai nanihii.... (dah! nilisahau kuuliza, nahisi mai shemegi yake)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Du! jamaa pamoja na kukaa huko japani, bado haijapoteza kabisa mng'ao wake wa asili, mtu iko nyeusi kinoma, kazi nzuri!

    ReplyDelete
  2. huyu Dada si Gladies(glady) aliyetoka US juzi au ndo duniani wawili wawili?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2009

    he eh eh anko naniii! muzee wa libeneke,ndio kusema huyo bibie ni mainaniino wake ?au mai shemeji yake,elezea kitu cha uhakika,tusije tukasikia yule mwenda na dog kichaa anakurusha mambo ya shemeji shemeji,wakati anko unauhakika na uhusiano wa mdau japan na dada naniino.sipo hapo ngoja kamanda aone hii kitu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2009

    mmmmmmmmm! vipi? hapa unasema huyo ni shemeji yake?au mainanii wake? ngoja nimvutie waya kamanda ras,atupe jibu labda analo...
    Kamanda shemeji huyo ndani ya week end tayarisha mawe

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 10, 2009

    MKUU WA NANIHII NA NANIHINO... PAJAZZ HIZO. DUH C MCHEZO..

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 10, 2009

    huyu shemeji ana nguuu si nchezo karibu nturwa kama vp ni posti mahali

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 10, 2009

    mkuu wa nanihii mbona maeneo fulani yako karibu na kifua chako kuliko mwenye mai wife wake?????????maana umejiachia kinoma,nadhani ungeomba net kabisa ili ulale!!!!
    ha!ha!ha!ha!najua hii utaibana,tuku kumi tunatuma hili dongo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 11, 2009

    uliambiwa acha kukumbatia wenye nanihii na hujaacha

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 11, 2009

    hallo hallo mzeee wa totos si mchezo naona safari hii umeamua kuchukua paja paja huyo hana cha shemeji huyo ukimkalia vibaya analamba tu tunamuelea vizuri huyo kisketi kisimpitie tu

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 11, 2009

    Huyo ni mke wake Michuzi. Naona anaonge kwa kuzunguka. Amesema Mai shemegi yake hii inamaanisha uyo ni mek wake na ni shemeji yake huyo mdau wa Tokyo, Japan

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 11, 2009

    Sijaelewa unaposema ana kampuni kubwa wakati ukiangalia website yake utajua tu kinachoendelea, ina maana gani kusema kampuni kubwa? kwa upeo wangu mdogo kampuni kubwa kwanza lazima iwe na stock nyingi tu ili watu waweze kuangalia na kuchagua. Kwenye hii sijaona unless mseme labda mimi ndo sielewi. http://members.jcom.home.ne.jp/wilna/

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 11, 2009

    balozi huwa HAKOMI kabisaaa.jaman unafauduuuu!!

    ivi why dadazz uwa wanageukia/wanakulalia wewe balozi tu????

    yan unapenda konozzz hahahahaaa teh afu leo umepiga shati tengezzz

    dada mashallah uko chini

    aya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...